Msaada: Nimetumia dawa hizi kutibu muwasho ukeni ila bado najikuna sana. Nifanyaje?

Fursa
 
πŸ‘ΏπŸ‘ΏπŸ‘Ώ
 
Ila Dogo, mashangazi wameharibu kabisa Ubongo wako, nini hiki unaandika hapa?
Mxxxxiiiieeew πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Coca bana unazani nachekesha hapa..
Nini kinakufanya ucheke..
Kwanini unatabasamu
 
Unyama sana mwanetu.
Una risk fangas kwa utamu wa muda mfupi
Sasa kwanini unacheka mkuu...
Nini kinakufanya utabasamu..

Sio risk ni matibabu mkuu fangus hawawezi kuingia sehemu ambayo sio habitat yao
 
Aweke maumbile ya kike humu? Kwa namna maumbile ya mwanamke yalivyo ni ngumu sana mtu mwenye akili timamu kufanya hivyo.

Maumbile ya kiume sio issue sana...
 
Doo pole sanaa
 
Aweke maumbile ya kike humu? Kwa namna maumbile ya mwanamke yalivyo ni ngumu sana mtu mwenye akili timamu kufanya hivyo.

Maumbile ya kiume sio issue sana...
anhaa! kwahiyo sisi ni raha tu tukiweka masoko yetu ya hisa ila wao ngumu!, what is the meaning of fifty fifty..?
 
Hizi za buluu nakunywa kila siku kidonge 1 kwa siku 14 na nimemaliza ila hakuna afadhali.

Na hizi nyeupe naingiza huku ukeni kwa siku 7 nazo nimemaliza ila muwasho bado uko palepale.
Hapa inadhihirisha kuwa life and everything we do daily in our life is just bunch of probabilities nothing is sure.
Hata huko hospital huwa wanacheza na probability Kama vile unajua juaihuyu mke atanifaa acha nimuoe ikiwa kweli utasema kuwa u mjanja utajisifu like ume predict coin flip head to appear baadaye ukajiambia you can know the future while future is uncertainty
 
Acha uwongo ww pigo za waganga wa kienyeji unazileta kwenye taaluma ya wasomi sio poa πŸ˜ƒ
 
Dakitari wa wanawake.
 
Wee ni muongo.
Nipo hapa kutoa elimu na si vinginevyo mkuu kama nakukwaza naomba nisamehe sana aiseee

sikujua kuwa elimu yangu inaweza sababisha ugomvi namna hii samahani sana ahahahhaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…