Msaada: Nimetumia dawa hizi kutibu muwasho ukeni ila bado najikuna sana. Nifanyaje?

Nipo hapa kutoa elimu na si vinginevyo mkuu kama nakukwaza naomba nisamehe sana aiseee

sikujua kuwa elimu yangu inaweza sababisha ugomvi namna hii samahani sana ahahahhaha
Dogo em acha ushamba, 😂😂😂😂
 
anhaa! kwahiyo sisi ni raha tu tukiweka masoko yetu ya hisa ila wao ngumu!, what is the meaning of fifty fifty..?
Uchi wa Me sio issue sana kama wa Ke mkuu.
 
Kwanza kuna dawa flani ivi ipo kweny kichupa unatakiwa uwoshe uchi kila unapokwend kujisaidia

kuna sindano unatakiwa kuchomwa
Kuna dozi ya vidonge unatakiwa kula mpk imalize kuna vidonge vya kudumbikiza uko kwenye uchi na kuna cream ya kupaka

Hapo tatizo linaweza kumalizika na sio kwa kupaka izo cream tu
 
Nenda kamwone gyno ndio njia iliyo bora ya kumaliza shida yako
 
Dah😂😂😂

Nilivyokua nakusoma kwa utulivu sasa
 
Pole Sana ndugu nenda hospital kubwa huenda utapata msada
 
Halafu kuna mwana wakati wa foreplay anashuka taratibu hadi kitovuni, then dam inajaa kunako anaona isiwe tabu hem ngoja nimpagawishe bibie, hahaha dah!
 
Hizi dawa ni uzushi hazifanyi chochote nahisi matabibu wanatuandikia ili wapate nafasi ya kupiga ela zaidi😃niliwai pata tatizo nikaandikiwa hizi dawa kama mwaka mzima ni unapata nafuu ya mda tatizo linaanza upyaaaa Sina hamu nazo kabisa
 
Hizi dawa ni uzushi hazifanyi chochote nahisi matabibu wanatuandikia ili wapate nafasi ya kupiga ela zaidi😃niliwai pata tatizo nikaandikiwa hizi dawa kama mwaka mzima ni unapata nafuu ya mda tatizo linaanza upyaaaa Sina hamu nazo kabisa
Baadaye liliishaje?!...
 
Dada, hapa JF hakuna ushauri wa kitabibu wenye unaweza pata. nashauri uende hospital kubwa ukamwone daktari wa magonjwa ya wanawake atakusaidia
tofauti na hapo, hiyo inaweza kuwa dalili ya UTI sugu, kama utani tu lakini ndo ipo hivyo. kinacho kuwasha na utelezi wako wewe, sio hicho kinacho kuingilia. Niliwahi kuwa na kesi hii mimi, nilikuwa siwezi kunyandua, nikiingiza tu lazima nitoe haraka sana, yani ni kama nimeingiza kwa ACIDkumbe ilikuwa UTI SUGU.

Hii nilipona kwa AMPICLOX tu na nikaendelea kunyandua as usual. Jaribu antibiotic yenye capacity ya kuua gram positive na gram negative. Hana naongelea dawa kama AMOXICLAV. Tafuta hiyo dawa,tumia dose yote (vidonge 15 hv) then kaa siku 3 ujaribu tena mitambo uone kama yaliyomo yamo kweli au la.
Ukiona umepona basi rudia dose nyingine after 14 or 21 days..hii hakikisha na jamaa yako naye anatumia pia. mkimaliza hapo basi endeleeni ku enjoy. nimejaribu, Nawasiliha 😎 😎 😎
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…