Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Madai sawa police hapaswi kuingilia ,ila wajanja wanakugeuzia kesi ya utapeli wa kujipatia Fedha kwa njia ya udanganyifu ,hapo kesi ya madai inageuka kua criminal case!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Madai sawa police hapaswi kuingilia ,ila wajanja wanakugeuzia kesi ya utapeli wa kujipatia Fedha kwa njia ya udanganyifu ,hapo kesi ya madai inageuka kua criminal case!!
Jela NAENDA kwa kosa Gani?? Angekuwa Amelipa hela kwa wakati na amemaliza kulipa hii nyumba ingekuwa tayari Mali yake na kama ningeuza lingekiwa kosa...we uliona wapi nyumba eti mtu anailipia miezi kumi na Moja...hayo ni madharau na Mali za watuNdiyo unaweza kuuza ila baada ya kuuza utaenda jela