Msaada: Nimeuza nyumba, niliyemuuzia hataki kunimalizia fedha yangu mwezi wa nne huu, nikiuza tena kuna kosa?

Msaada: Nimeuza nyumba, niliyemuuzia hataki kunimalizia fedha yangu mwezi wa nne huu, nikiuza tena kuna kosa?

Ndiyo unaweza kuuza ila baada ya kuuza utaenda jela
Jela NAENDA kwa kosa Gani?? Angekuwa Amelipa hela kwa wakati na amemaliza kulipa hii nyumba ingekuwa tayari Mali yake na kama ningeuza lingekiwa kosa...we uliona wapi nyumba eti mtu anailipia miezi kumi na Moja...hayo ni madharau na Mali za watu
 
Mkataba sio maua chukua iyo pesa kwanza afu uende mahakamani uka shtaki kudai iyo riba ilio baki achana na hawa wana taka upotezee
 
Mkuu kwanza nikupongeze kwa kuweza kuvumilia muda wote huo bila kupewa pesa yako ,....


Pambana/cottonand
 
Back
Top Bottom