Msaada: Nimewapa ujauzito wanawake wawili, nawapenda ila dini yangu hairuhusu kuwa na wake wawili

Kwahiyo dini yako inaruhusu kuzini na watu wawili?
Huu ni unafiki wa Kiafrika.
Zuchu anasema hawezi kutangaza pombe dini yake haimruhusu , sasa ukimuuliza hizo bikini ambazo unazivaa majukwaani dini yako imeruhusu hana majibu.
Tunakua njia panda sana kwenye maswala fulan ya dini. Tena mvutano ni mkubwa
 
Shukran sana mkuu.. mimi ni mwanaume wa miaka 35. Nimefikiria sana ulichosema lakini kwelly mameamua kunivuruga haswa na nikianza varangati la kupima vina saba hilo inabidi nisubiri mpaka wazaliwe na huko ntaonekanaje baada ya kuwazingua sio wangu afu baadae wanakuja kuonyesha majibu wote na wa kwangu au mmoja. kwemye hio familia ntaonekanaje.. maana ikitokea wote sio wangu haitakua matatizo kwangu
 
Basi awe tayari kwa matokeo ya nyege mshindo. Ila upuuzi wakuniambia mimba ya bahati mbaya sita ukubali ata siku moja.
Mwanamke akipata mimba ujue kaitaka.
Hapo naweza nkaamini mkuu
 
Wakati unachakata mbususu hukuomba msaada na ulijua dini yako hairuhusu kuwa na wanawake wawili,,,,,mi nakushauri endelea kuzichakata
 
Itabidi uoe wote kila mmoja awe na nyumba yake.
Labda kimya kimya tatizo. Dunia ya sasa ni mapicha sana.. itakuja kuleta baadae kila mmoja akute picha za mwenzake fb,insta.
 
Wakati unachakata mbususu hukuomba msaada na ulijua dini yako hairuhusu kuwa na wanawake wawili,,,,,mi nakushauri endelea kuzichakata
Kwani mkuu mambo unavyo yaweza unaomba msaada kwelly. Tutumie ABCD
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…