Msaada: Nimewapa ujauzito wanawake wawili, nawapenda ila dini yangu hairuhusu kuwa na wake wawili

Msaada: Nimewapa ujauzito wanawake wawili, nawapenda ila dini yangu hairuhusu kuwa na wake wawili

Kwahiyo dini yako inaruhusu kuzini na watu wawili?
Huu ni unafiki wa Kiafrika.
Zuchu anasema hawezi kutangaza pombe dini yake haimruhusu , sasa ukimuuliza hizo bikini ambazo unazivaa majukwaani dini yako imeruhusu hana majibu.
Tunakua njia panda sana kwenye maswala fulan ya dini. Tena mvutano ni mkubwa
 
Mdogo wangu kwa jinsi ulivyo hadithia umekaa kama wewe ndio starring ila hapo kuna mawili.

Mwanzo uliwaumiza vichwa wao, means kila mmoja hawezi kwenda kukaa kizembe lazima apange mikakati ya kukuteka bwamdogo.

Hapo, What if huyo R kapewa kitu huko mkoani kaja kwako na mbinu ya mimba!?

S nae ulipotezana nae, hivi unadhani mwenye mkongojo ni wewe tuu, yaani na yeye alikuwa anakusubiria wewe baada ya madhira yote yale, sasa probably nae kaja na same mbinu.

Uliwaumiz vichwa wao, saaa wanakuumiza kichwa wewe.

Ndio maana ukileta mada kama hii hapa, watu wanaulizaga umri wako na wengine wanauliza jinisa yako [emoji23]mvulana au mwanaume.

Kafikirie hayo kabla ya dini.
Shukran sana mkuu.. mimi ni mwanaume wa miaka 35. Nimefikiria sana ulichosema lakini kwelly mameamua kunivuruga haswa na nikianza varangati la kupima vina saba hilo inabidi nisubiri mpaka wazaliwe na huko ntaonekanaje baada ya kuwazingua sio wangu afu baadae wanakuja kuonyesha majibu wote na wa kwangu au mmoja. kwemye hio familia ntaonekanaje.. maana ikitokea wote sio wangu haitakua matatizo kwangu
 
Basi awe tayari kwa matokeo ya nyege mshindo. Ila upuuzi wakuniambia mimba ya bahati mbaya sita ukubali ata siku moja.
Mwanamke akipata mimba ujue kaitaka.
Hapo naweza nkaamini mkuu
 
Wakuu salamu natuamini mnaendelea na mapambano ya kila siku na mapambano ya tozo. Samahani kwa uandishi wangu mimi sio expert sana wa kujielezea kwa maandishi.

Mwaka 2019
Nilikuwa na mahusiano na binti mmoja, ambaye kwa muda huo ndiyo alikuwa main huyu tumuite R. Basi nilikuwa na mahusiano naye kama miaka miwili hivi, kufikia 2019 alihamishiwa mkoa fulani kwenye halmashauri fulan. Basi nikabaki kidume mwenyewe DSM ikaenda kama miezi sita. Basi kama ujuavyo, upweke mbaya, nikaja kuwa na mazoea na binti fulani huyu tumuite S. Basi nikawa na mazoea mwisho wa siku yakawa mahusiano na huku R hajui hili wala lile, kama Dec R akaomba likizo kuja DSM.

Sasa kwenye likizo yake 2020 akaja kujua nina mahusiano na S, ugomvi ukawa mkubwa wakaitakana huko na kutaka kuja kwangu kunifanyia fujo. Uzuri rafiki yangu alinitonya(huyu jamaa anaongea na R) baada ya ugomvi si unajua tena wanaume, kila sehem nikaenda kuomba msamaha na kumfanye amuone adui mwenzake(wazungu wansema divide and conqur). Basi baada kuona hiyo inashindwa nikamuacha R akarudi zake kazini, mimi nkipambna na S.

Sasa kwa upande wa S nikaendela nae lakini huku nikimuwaza R. Sasa kuna kipindi mambo yakaja kuwa mabaya na nikatengana na S maana nae alisafiri. Nikaendelea na shughuli zangu.

2021
Nikakutana na R si unajua tena(kiporo hakihitaji moto mwingi) nkashangaa nimerudiana na R na mapenzI shamu shamu, msamaha nIkaomba na maisha yakaendelea.

2022 Feb
Mungu akatujalia R akashika ujauzito na nikawa najipanga kwaa ajili ya taratibu za kwenda kujitambulisha. Wakati nipo kwenye harakati za kuweka mambo sawa, mara jioni nashangaa text iniangia kwenye simu yangu, na aliyenitxt S na tukaongea machache nkamsadia ya shida kuna sehemu alikuwa amekwama kipesa.

2022 June
Sasa mama watoto wang future wife wakati yupo mkoani, mazoea na yule binti S yakawa kama yamerudi na kimasiraha nikawa nimeshaweka na kipindi hicho amesema hakuwa na mtu. Kiasi fulani hakuwa mtu wa mambo mengi na mimi ndo nilimzinguaga kipind kile.

Sasa juzi hapa kaja kwangu na kuniambia kuwa ana ujauzito wangu. Yaani kama nina watoto wawili wapo njiani na kwao pia nimeambiwa natakiwa niende nikajitambulishe. Kiukwel wote nawapenda ila dini yangu hairuhusu kuwa na wake wawili, na hata kama zinaruhusu ila wao hawapatani.​
Wakati unachakata mbususu hukuomba msaada na ulijua dini yako hairuhusu kuwa na wanawake wawili,,,,,mi nakushauri endelea kuzichakata
 
Wakati unachakata mbususu hukuomba msaada na ulijua dini yako hairuhusu kuwa na wanawake wawili,,,,,mi nakushauri endelea kuzichakata
Kwani mkuu mambo unavyo yaweza unaomba msaada kwelly. Tutumie ABCD
 
Back
Top Bottom