- Thread starter
- #81
Sio muda wote unatumia kinga mkuuKama hakutaka kuzaa nao kwanini hakutumia kinga?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio muda wote unatumia kinga mkuuKama hakutaka kuzaa nao kwanini hakutumia kinga?
HapanaKwa hiyo mwanamke akisafiri unabadilisha tu? Hauna Tofauti na ngombe au mbwa wanaokula mama zao.
Nakubaliana na wewe. Ila ndo yashatokea
Hapo umeongea bonge la point mkuuLinapokuja swala la wanawake tuna udhaifu mkubwa
Tunakua njia panda sana kwenye maswala fulan ya dini. Tena mvutano ni mkubwaKwahiyo dini yako inaruhusu kuzini na watu wawili?
Huu ni unafiki wa Kiafrika.
Zuchu anasema hawezi kutangaza pombe dini yake haimruhusu , sasa ukimuuliza hizo bikini ambazo unazivaa majukwaani dini yako imeruhusu hana majibu.
Asante mkuu kwangu mimi namuona kabisa binti ROa mmoja bas wee uoiyeridhuka nae yule the most loved one
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Hapana.. ila yashatokea tusendelee mambo ya kunyoosheana vidole mkuuKwani dini inaruhusu ulichofanya?
Shukran sana mkuu.. mimi ni mwanaume wa miaka 35. Nimefikiria sana ulichosema lakini kwelly mameamua kunivuruga haswa na nikianza varangati la kupima vina saba hilo inabidi nisubiri mpaka wazaliwe na huko ntaonekanaje baada ya kuwazingua sio wangu afu baadae wanakuja kuonyesha majibu wote na wa kwangu au mmoja. kwemye hio familia ntaonekanaje.. maana ikitokea wote sio wangu haitakua matatizo kwanguMdogo wangu kwa jinsi ulivyo hadithia umekaa kama wewe ndio starring ila hapo kuna mawili.
Mwanzo uliwaumiza vichwa wao, means kila mmoja hawezi kwenda kukaa kizembe lazima apange mikakati ya kukuteka bwamdogo.
Hapo, What if huyo R kapewa kitu huko mkoani kaja kwako na mbinu ya mimba!?
S nae ulipotezana nae, hivi unadhani mwenye mkongojo ni wewe tuu, yaani na yeye alikuwa anakusubiria wewe baada ya madhira yote yale, sasa probably nae kaja na same mbinu.
Uliwaumiz vichwa wao, saaa wanakuumiza kichwa wewe.
Ndio maana ukileta mada kama hii hapa, watu wanaulizaga umri wako na wengine wanauliza jinisa yako [emoji23]mvulana au mwanaume.
Kafikirie hayo kabla ya dini.
Hapo naweza nkaamini mkuuBasi awe tayari kwa matokeo ya nyege mshindo. Ila upuuzi wakuniambia mimba ya bahati mbaya sita ukubali ata siku moja.
Mwanamke akipata mimba ujue kaitaka.
Aisee mtihan huooWaambie wazitoe hizo mimba
Kama kabakwa sawa.....ila kuja gheto wanakujaga wenyewe....kwani wao hawapendi utamu wa de libolo🤣🤣🤣
Mambo hayo siwayez mimi ya njeMwagia nje😂😂😂😂😂
Unamwagia nje ili iweje bwana....wee mwagia ndaniMambo hayo siwayez mimi ya nje
Wakati unachakata mbususu hukuomba msaada na ulijua dini yako hairuhusu kuwa na wanawake wawili,,,,,mi nakushauri endelea kuzichakataWakuu salamu natuamini mnaendelea na mapambano ya kila siku na mapambano ya tozo. Samahani kwa uandishi wangu mimi sio expert sana wa kujielezea kwa maandishi.
Mwaka 2019
Nilikuwa na mahusiano na binti mmoja, ambaye kwa muda huo ndiyo alikuwa main huyu tumuite R. Basi nilikuwa na mahusiano naye kama miaka miwili hivi, kufikia 2019 alihamishiwa mkoa fulani kwenye halmashauri fulan. Basi nikabaki kidume mwenyewe DSM ikaenda kama miezi sita. Basi kama ujuavyo, upweke mbaya, nikaja kuwa na mazoea na binti fulani huyu tumuite S. Basi nikawa na mazoea mwisho wa siku yakawa mahusiano na huku R hajui hili wala lile, kama Dec R akaomba likizo kuja DSM.
Sasa kwenye likizo yake 2020 akaja kujua nina mahusiano na S, ugomvi ukawa mkubwa wakaitakana huko na kutaka kuja kwangu kunifanyia fujo. Uzuri rafiki yangu alinitonya(huyu jamaa anaongea na R) baada ya ugomvi si unajua tena wanaume, kila sehem nikaenda kuomba msamaha na kumfanye amuone adui mwenzake(wazungu wansema divide and conqur). Basi baada kuona hiyo inashindwa nikamuacha R akarudi zake kazini, mimi nkipambna na S.
Sasa kwa upande wa S nikaendela nae lakini huku nikimuwaza R. Sasa kuna kipindi mambo yakaja kuwa mabaya na nikatengana na S maana nae alisafiri. Nikaendelea na shughuli zangu.
2021
Nikakutana na R si unajua tena(kiporo hakihitaji moto mwingi) nkashangaa nimerudiana na R na mapenzI shamu shamu, msamaha nIkaomba na maisha yakaendelea.
2022 Feb
Mungu akatujalia R akashika ujauzito na nikawa najipanga kwaa ajili ya taratibu za kwenda kujitambulisha. Wakati nipo kwenye harakati za kuweka mambo sawa, mara jioni nashangaa text iniangia kwenye simu yangu, na aliyenitxt S na tukaongea machache nkamsadia ya shida kuna sehemu alikuwa amekwama kipesa.
2022 June
Sasa mama watoto wang future wife wakati yupo mkoani, mazoea na yule binti S yakawa kama yamerudi na kimasiraha nikawa nimeshaweka na kipindi hicho amesema hakuwa na mtu. Kiasi fulani hakuwa mtu wa mambo mengi na mimi ndo nilimzinguaga kipind kile.
Sasa juzi hapa kaja kwangu na kuniambia kuwa ana ujauzito wangu. Yaani kama nina watoto wawili wapo njiani na kwao pia nimeambiwa natakiwa niende nikajitambulishe. Kiukwel wote nawapenda ila dini yangu hairuhusu kuwa na wake wawili, na hata kama zinaruhusu ila wao hawapatani.
Labda kimya kimya tatizo. Dunia ya sasa ni mapicha sana.. itakuja kuleta baadae kila mmoja akute picha za mwenzake fb,insta.Itabidi uoe wote kila mmoja awe na nyumba yake.
Kwani mkuu mambo unavyo yaweza unaomba msaada kwelly. Tutumie ABCDWakati unachakata mbususu hukuomba msaada na ulijua dini yako hairuhusu kuwa na wanawake wawili,,,,,mi nakushauri endelea kuzichakata
Usikimbie mimbaMambo hayo siwayez mimi ya nje
Ndio mkuu endelea kumhudumia tena kwa upendo kabisa........Labda niendelee kumuhudumia na huko kwao huyo mzee wa boma ntamdamganya vipi huyu binti S
Nyingi tuKwani kuna mila zinaruhusu wake wawili