Msaada: Nina aibu kupita kiasi, nifanyeje kuondokana na hali hii?

umri wako tafadhali? ni muhimu kutoa ushauri kulingana na umri au rika
 
Acha nyeto kwa siku 21 alafu uje hapa usome bandiko lako upya.
 
Kama mimi yaani watu washaniona shamba la bibi
 
In term of money I'm comfortable sir. Ila yaani aibu zipo tu, duuh yaani sijui nitakua baba wa namna gani mbele ya wanangu
Kwa jinsi unavyoelezea hizo aibu ulizonazo utafika kweli level ya kuitwa baba? Kama Una mpango wa kuwa na familia baadae anza kuchukua hatua ya kuukabili uoga wako na jifunze njia za kuearn confidence before people. Isijefikia kipindi hata unayedhania ndio ubavu wa future yako ukashindwa kumface achilia mbali utakapokuwa nae faragha naeπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Lete hiyo deal ya kuwadai wadeni wako, Lazima tuwa shughulikieπŸ€“πŸ€’
 
Hii kitu sometimes Ina niandama pia, una kuta kitu naki jua ila I can't say it mbele yao.

Moja kati ya marafiki zangu ndo ali nambia mbona ume kaa kiwaki.

Ila ni half half sometimes nakuwa normal, baadae ndo shida Ina rudi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…