Msaada, ninahitaji sana kuonana na hawa members. Wananifikirisha sana na kunipa mtanzuko wa moyo

Kalpana ni dada mrembo sana katulia, tofauti na makeke yake humu. Mtani utanisamehe natoa siri za kambi πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Anakuzidi wewe mwanadada kama Nour’ul Ayn kutoka Sinza πŸ€©πŸ˜πŸ€€πŸ˜‹πŸ™ˆ?!?!

Mtoto kama huendagi haja πŸ˜…πŸ™ŒπŸΎ
 
Naomba niwe promoter wa pambano… inaitwa β€œNO WAY OUT” mtu tatu ulingoni, ebana ngoja tufanye booking SUPERDOME MASAKI” mapema sana!
Mimi huwa ni mzee wa β€ŠKO.
Sina maneno ya kwenye kanga kama mandonga.
 
Duhh! Kweli mleta mada hakukosea kukuelezea sifa zako πŸ€¦πŸΎβ€β™‚οΈ

Dogo angalia mi sicheki na wowote... Sipendi mazoea na nyie wabongo maana mshanitapeli sana napowatumia pesa huko kwenu. Mi mstaarabu sana siku hizi zaman ngekuwa nshampasua pasua huyu mtoa mada kama ni demu nshamgegeda tayari.
 
Halafu kipindi fulani wewe ulinisababishia ban hivyo naomba tukutane uso kwa uso nikuadhibu vikali 😎.

Kheeee....mimi tena?ilikuaje?sheikh wangu mimi si mtu wa ugomvi kabisa. Nawajua wasababisha ban na wapigwa ban maarufu humu ndani wakiwemo wawili ambao nimewataja.sidhani kama.wanamaliza.mwezi. wewe ilikuaje?unataka nikuadhibie maeneo ya karibu na wapi?
 
Asante ndugu kwa compliment.. Napokea kwa moyo wa shukraniπŸ™πŸΏπŸ™πŸΏπŸ™πŸΏ
On serious note huwa namfananisha Ma Mshuza na huyu mama hapa! Ila kwa vyovyote iwavyo huyu ni mtu wa TangaView attachment 3375886

Nakubaliana nawe atakuwa ana uarabu flani hivi na mwili kama huu. Au unamfahamu?siku zote namfikiria hivi . Na nina wasiwasi anaishi peke yake. Ila hivi ndo bila shaka kabisa alivyo.safi sana. Sikukosea kukutaja umenifanya niwaze jambo jingine tena.nashukuru
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…