Msaada, ninahitaji sana kuonana na hawa members. Wananifikirisha sana na kunipa mtanzuko wa moyo

Msije mkamteka Mshana Jr. Maana chawa wa mama mmechachawa vibaya sana!
 
Sema nilikutania kwa maneno makali ukaninishitaki kwa mods tukapigwa ban wote baada ya siku kadhaa ukaja na ID nyingine kukata rufaa ukisema Minjingu Jingu hakustahili ban 😂.
 
Pia namkubali sana Pascal Mayalla huyu jamaa japo mnamuona jinsi mnavyomuoa ila ana akili sana. Namuheshimu sana
Pascal Mayalla Mimi namwita Kim jong Un kutokana na style yake ya unyoaji.

Mayalla anaipenda sana JF japo baadhi ya watu wa JF wanamwona kibaraka lakini ni mtu ambaye hata ukimtukana hawazi.

Hongera sana Kim jong Un wa jamiiForums.
 
Hutamani Kumuona Lucas Mwashambwa?
 
Mi nataka nionane na Lukas mwashamba

Najua atakuwa na kamuonekano flani kwa kijems delishaz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…