Uko sahihi, ticktock ukiwaza ata kitu ndio utakachokiona! Ukiwa na furaha utashangaa hizo page,ukiangalia shoga mmoja watakuja wote! ukiwaza ndoa zitakuja hizo page🙌🏾Analipwa pesa na TikTok?
Tuanze kwanza hapo.
Binafsi nitatumia mitandao yote ya kijamii ila sio TikTok .
Mitandao yote ni agents za ibilisi ila TikTok iko highly influence na devil kuliko mitandao mingine
Rudia tena kusoma utaelewa vizuriiiKivipi?
Aaah mie nikiingia nakutana RIP TU watu wamepost marehemu zao,Mimi nimejifunza tiktok juzi ni nzuri sana kama unaenda kwa lengo la kurefresh tu
Unaogopa kufa wewe😅😅😅😅Aaah mie nikiingia nakutana RIP TU watu wamepost marehemu zao,
Kama Kuna ka ukweli😁Uko sahihi, ticktock ukiwaza ata kitu ndio utakachokiona! Ukiwa na furaha utashangaa hizo page,ukiangalia shoga mmoja watakuja wote! ukiwaza ndoa zitakuja hizo page🙌🏾
Naogopa,ndiyo maana nimeacha kufanya dhambi🏃Unaogopa kufa wewe😅😅😅😅
Mawaa , dhambi umefanya lini tena na umezaliwa majuzi tu🙄Naogopa,ndiyo maana nimeacha kufanya dhambi🏃
Ujue mie mkubwaa,nakuzidi weye🏃Mawaa , dhambi umefanya lini tena na umezaliwa majuzi tu🙄
Hahahaha inawezekana ila mimi chuo nimemaliza 2011Ujue mie mkubwaa,nakuzidi weye🏃
Sikuleta tu mrejesho lkn nina ishi nae ndo mana awamu hii shemeji nayeye amekuja kwanguUlioa lini lakini mkuu mbona unatuzingua?
imebidi nifatilie baadhi ya taarifa nijue na mengineyo
👇👇👇👇
Hii ina maana gani kwenye mahusiano?
Salam wadau, Mwezi wa pili mwanzoni kuna binti niliona bora tu ahamie getoni kwangu tuishi kama mke na mume japokuwa bado sijajitambulisha kwao lakini wazazi wake wananifahamu!!! Lengo langu nilipanga mwezi wa kumi nikajitambulishe na ikiwezekana nimalize kila kitu hasa mahali awe mke rasmi...www.jamiiforums.com
Daaaaah😁Hahahaha inawezekana ila mimi chuo nimemaliza 2011
Daaaah nini mawaaa🤣🤣Daaaaah😁