Msaada: Tatizo la kutokwa na damu wakati wa haja kubwa

Sasa hapo shida inakuja mtu hajatoa details za kutosha halafu mtu anakuja ame confirm diagnosis moja kwa moja na anamuandikia dawa kabisa πŸ˜‚
Hawaulizi hata swali la nyongeza πŸ˜‚
Mkuu nitakutafutia dawa zako za kumeza umeanza kuonesha chuki
 
Duh Hatari sana Hii!😳😳
Na Mmerelax Nyumbani?
Fanya haraka Ikiwezekana Mshauri au Mpeleke Hospitali akachunguzwe Pamoja na Kutibiwa ni Htari sana..

Hiyo haiwezi kuwa Amoeba Moja kwa moja ila Inaweza kuwa Maradhi mengine Ikiwemo Bawasiri au Saratani ya Colon au Uvimbe (Polyp),au Anal Fissure ...

Duh wahi sana Hospitali maana kadri unavyodelay Tatizo linazidi Kuongezeka..
Usichukulie Utani, Mkuu!
 
amoeba nimeugua pia na ilikua critical na typhoid hukohuko hamna dalili hizo, mwambie aongee dalili zingine atasaidika
 
Hapo kwenye anal fissure naunga mkono hoja japo Kuna Schizophrenia mmoja anabisha hapa
 
Tupe distinctive feature of anal fissure mzee
Mm sijapinga potential diagnosis ila nilichokataa ni kufanya conclusion hapo unampoteza mgonjwa
Nilisema kuwa Kama unajijua huna akili timamu usiquote hoja zangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…