Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
Wengi huwa wanapelekewa moto kwa siri. Kuna mmoja wa hivyo ilikuwa bimkubwa wake akienda job analeta vijana wanatatua marinda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama ana upungufu wa testosterone zipo tiba ila nae aanze kujitoa huko I mean akubali kwa hiari yake.. maana hiyo tiba inahitaji na kujitoa pia sio kudungwa misindano tu.
Mpeleke kwa mtabibu wa homoni wapo mahospitalini
KabisaUnakuta mzazi ana watoto wa kike 3 na wakiume 1 halafu wote anawaweka gate kali mpaka wanafikia balehe. Katika mazingira kama haya lazima huyu mmoja atakua na tabia za hao watatu.
Hii ni kweli,Unakuta mzazi ana watoto wa kike 3 na wakiume 1 halafu wote anawaweka gate kali mpaka wanafikia balehe. Katika mazingira kama haya lazima huyu mmoja atakua na tabia za hao watatu.
Bora hata wee umesema.Kama wazazi wake hawajaona ni tatizo, potezea
Unataka ndugu wamfanyaje? Wamtengee wamnyanyase? Ndo wanaishia kutafuta furaha nje wanakutana na mabaradhuri wanawaingiza ktk gaysm.Hii isikie kwa wenzako tu ila kama unandugu au mtu wako wa karibu alafu awe na tabia kama za kike wakati ni wakiume sijui au wa kike awe na tabia za kiumwe dah inaboa..
ila ndo ndugu yako sasa unabaki tu kujikaza alafu sasa unakuta dada zake wala wanafurah tuna kukenua mimeno pamoja nae ndio wanamuaharibu kabisa..
Ni Raphar huyuuu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Inasikitisha sana Kuna dogo mmoja songea yaaani Kila kitu ni kama mwanamke, Cha ajabu amepewakibarua kwenye booking office Moja ya mabus kampuni kubwa tu...... Yaaani nikama demu
Sent using Jamii Forums mobile app
Huna unachokijuaaa nakuambia tema mate chini ombaa yasikukutee. Kuna familia 1 ilipata mtoto mwenye matatizo ya hormone km huyo, walikua wana mlea km ambavyo wee unasimuliaa, mtoto wakampelekaaa ktk misingi ya dini pia.Tabia za kike kwa mtoto wa kiume zinatolewa na msisimamo wa baba pamoja na mabroo kama anal yaani hapa alitakiwa akizingua apewe mabanzi ya shingo mpaka ajue kutofautisha kwamba ke na me katikamaisha
Kwa mfano sis home kipind tupo wadogo utapelekwa sehemu utapiganishwa na wezako wa lika lako ngumi za kufa mtu na ole wako upigwe hapo bro lazima akuongezee mikofi kwa kuabisha family so trck zipo nyingi zakumlea Me
Sio mtoto wakiume akipigwa kidogo anakuja kusema ...yaani utaambiwa wew nenda kamalizane nao waliokupiga so siku nyngine lazima na wew utakiwasha tu
Mtoto wa kiume asifiwi na baba ake bali baba anatakiwa amponde kua wew boya tu hujui lolote sio kama mm enzi zangu nilikua mafia hakuna dem mtaani sijawahi kumla sio wew umekaakaa tu
Zipo njia nyingi zakumfanya mtot wa kiume ajijue yeye ni simba dume na sio jike kwanza mfundishe kuwazarau jinsia ya kike kwamba ni jinsia ya kishamba sana na wala hawajitambui pia ni legelege sana hapa mtoto wa kiume atajiona yeye bora kuliko Me
Mtoto wa kiume akifanya kosa hapa pinga kama unaua mwizi yaani piga sana sio kumwambia oooh unajua mwanangu sijui nini...pigaaaasana....pigaaa mpaka akitoka hapo lazima ajiulize kichwani huyu ni babaangu kwel...ila kwa mtoto wa kike akizingua hapa usimpige tena mwonye tu hapa itamfanya mtoto wa kiume ajijue yeye ni mbegu hivyo lazima akomae
Pia Mara kwa mara mwambie habar ngumu ngumu kichwani mwake kwa mfano hapa mkitia binti wa watu mimba nakufukuza kwangu, au ukifeli shule tafuta pakuishi, au siku hizi unakula sana kama upo kwako yapo mateso mengi ya akili yatakayo msaidie kujilinda nakua mwanaume
Note hizi formula walitumia wazee wetu ndo maana ushoga ulikua ni kama laana yaani ulikuepo ila kwa uchache sana sio saiv baba anamlea mtoto wa kiume kama binti......
Paragraph yako ya pili ndo imebeba maana nzimaaa ya andiko lako.Kuwa feminine haimaanishi mtu ni shoga Ila kwa hayo ya kukaa na jinsia ya kike mara nyingi ni aidha anajihisi comfortable zaidi kukaa nao hii ikimaanisha tayari anajua kuna ukike ndani yake hivyo, step iliyobakia ni moja, kutamani kuwa na boyfriend ili aujue utamu ambao dada zake wanaupata katika stories wanazopiga maana hawazi kuwa bubu saa zote ni lazma kuna kitu anachangia kama wao ndio maana yupo comfortable
Secondly, yawezekana kwa alivyo akikaa na jinsia yake kuna kumnyanyapaa, kumtukana au kumuonesha yupo tofauti ambao pia humuumiza kihisia kama binadamu wengine kwa hiyo kuepuka haya anaona kheri akae na watu wasiomuhukumu
Hizi ni speculations tu lakini ukweli anaujua mwenyewe hivyo, muweke karibu kiurafiki Ila akujulishe mwenyewe, be there to help, don't judge him.
Ahsanteeeeeee!!!Ndugu yako anafanana na huyu mchezaji wa Man City anaitwa Raheem Sterling? Sio shoga Ila akiwa uwanjani anavyocheza unaweza ukasema uwanjani kuna shoga anacheza mpira, so stop itakua ni maumbile tuView attachment 2467469
View attachment 2467474