Msaada tutani: Ndugu yangu Wa kiume ana tabia za kike, suluhisho la hili tatizo ni nini?

Msaada tutani: Ndugu yangu Wa kiume ana tabia za kike, suluhisho la hili tatizo ni nini?

Paragraph yako ya pili ndo imebeba maana nzimaaa ya andiko lako.
Watoto wenye matatizo ya hormones hapa Bongo wanaishia pabayaa kisa ni kunyanyaswaa na kutengwaa kwa jinsia yake husika.

Umemalizaaaa kila kitu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Shukrani fantastic 🙏🏽
 
Nilikuwa simfahamu huyu ndugu yangu, ni mtoto wa mama mdogo, nimemfahamu juzi kwenye family gathering event[emoji24]ni damu yangu kabisa halafu kijana, mara ya kwanza nlivomuona tabia zake, na jinsi anavotembea, Nilipata mashaka nikahisi kuna kitu kimempungukia kama mwanaume.

Nlivyokuja kuongea naye sasa oh gosh [emoji24][emoji24]anavoweka mikono, vidole, halafu body language yake anajishebedua kwa pozi za kike kabisa, halafu Muda mwingi alikuwa anashinda jikoni na dada zake sijui wamemzoea.

Nikamvuta pembeni dada yake mmoja kuonyesha mshangao wangu, nikamwambia hili ni janga kwenye familia yetu, akaniambia In very simple way ni shida tu ya homoni..

Kuna waliowahi kuwa na Tatizo hili au ndugu wenye tatizo hilo halafu likarekebishika? Kingereza linaitwa "effeminacy" Maana Nimegoogle nikaona mwanaume kuwa hivyo na tabia za kike haimaanishi kuwa ni shoga, ila kuna uwezekano Mkubwa wa yeye Kuja kuwa shoga.

Janga hili kwenye familia yetu[emoji24][emoji24]
Masikini
 
Simple tu nenda nae geto kwako tafuta mwanamke kwa gharama zozote akae nae wiki moja hakikisha anamkaza huyo mdada kutwa mara tatu kama dozi ya malaria.

Asipo mkaza huyo mdada mtie vitasa kwelikweli.
 
Kuna man miaka tunasoma msingi naye alikua completely girlish na muda wote na wasichana na kucheza nao. Sikuamini siku nimekuja kuonana naye ukubwani si yule kabisa, tena alikua ana huzuni ndoto yake ya kuingia jeshini haikufanikiwa.
Tatizo la wazazi na walezi wa siku hizi wanahisi jinsi wanavyowakuza watoto wao ndio kuwapenda.
Mtoto wa kiume analelewa kimayai kibwege, akienda boarding lazima wampelekee moto wenzake au kimtaamtaa. Wazazi kwa kiasi kikubwa ndio source watoto kuwa chakula ya wahuni.

Niliwahi kumuona jamaa kinyozi anamtongoza dogo. Dogo wa kiume ila amekaa kike sana. Na dogo niliona analegeza tu. Sijui ilikuaje mwishoni. Ni hatari sana.
 
Hapa mpunguzieni kampani na watoto wa kike, afu pingeni na mkaripie tabia za yeye kujihusisha na mambo ya kike.

Hii itaanza kumjenga kiakili kwamba yeye Ni wakiume na anatakiwa akae kiume.

Kumdunga hayo mahomoni bila kurekebisha kwanza saikolojia yake Ni kujichosha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tabia za kike kwa mtoto wa kiume zinatolewa na msisimamo wa baba pamoja na mabroo kama anal yaani hapa alitakiwa akizingua apewe mabanzi ya shingo mpaka ajue kutofautisha kwamba ke na me katikamaisha

Kwa mfano sis home kipind tupo wadogo utapelekwa sehemu utapiganishwa na wezako wa lika lako ngumi za kufa mtu na ole wako upigwe hapo bro lazima akuongezee mikofi kwa kuabisha family so trck zipo nyingi zakumlea Me

Sio mtoto wakiume akipigwa kidogo anakuja kusema ...yaani utaambiwa wew nenda kamalizane nao waliokupiga so siku nyngine lazima na wew utakiwasha tu
Mtoto wa kiume asifiwi na baba ake bali baba anatakiwa amponde kua wew boya tu hujui lolote sio kama mm enzi zangu nilikua mafia hakuna dem mtaani sijawahi kumla sio wew umekaakaa tu

Zipo njia nyingi zakumfanya mtot wa kiume ajijue yeye ni simba dume na sio jike kwanza mfundishe kuwazarau jinsia ya kike kwamba ni jinsia ya kishamba sana na wala hawajitambui pia ni legelege sana hapa mtoto wa kiume atajiona yeye bora kuliko Me

Mtoto wa kiume akifanya kosa hapa pinga kama unaua mwizi yaani piga sana sio kumwambia oooh unajua mwanangu sijui nini...pigaaaasana....pigaaa mpaka akitoka hapo lazima ajiulize kichwani huyu ni babaangu kwel...ila kwa mtoto wa kike akizingua hapa usimpige tena mwonye tu hapa itamfanya mtoto wa kiume ajijue yeye ni mbegu hivyo lazima akomae

Pia Mara kwa mara mwambie habar ngumu ngumu kichwani mwake kwa mfano hapa mkitia binti wa watu mimba nakufukuza kwangu, au ukifeli shule tafuta pakuishi, au siku hizi unakula sana kama upo kwako yapo mateso mengi ya akili yatakayo msaidie kujilinda nakua mwanaume

Note hizi formula walitumia wazee wetu ndo maana ushoga ulikua ni kama laana yaani ulikuepo ila kwa uchache sana sio saiv baba anamlea mtoto wa kiume kama binti......
Mkuu,
Hapa Umetema madini muhimu Sana
KAZI kwake mtoa mada ayafanyie kazi[emoji106]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ayo wanakuwa no matatizo ya hormones kuna watu wana pozi za kike lakini ni wanaume marijali na kuoa washaowa kwaiyo inakuwa kawaida tu ila unatakiwa umkataze asicheze na watoto wa kike.
 
Utajisikiaje kaijua una mchukulia ivyo na yy hayupo hivyo then na kama yupo humu na akasoma this threaad unafikli atajisikiaje?

Kaa nae karibu ongea nae haikuwa na haja ya kuja hapa kuandika uzi utabualibu kisaikolojia

Tabia ya mtu haibadiliki kwa siku moja mpka kawa hivyo kuna vichocheo vingi sana ambavyo vimemfanya awe ivyo
 
Huna unachokijuaaa nakuambia tema mate chini ombaa yasikukutee. Kuna familia 1 ilipata mtoto mwenye matatizo ya hormone km huyo, walikua wana mlea km ambavyo wee unasimuliaa, mtoto wakampelekaaa ktk misingi ya dini pia.

Mtoto aliteswaa na kunyanyaswaa, sio kaka zake, na baba ake, hata dada zake ilikua ni kwa kuibia couz walipewa onyo wasifuatane nae.

Mama ake ndo alikua Pa1 na mtoto, mwsho wa siku mtoto alitafuta furaha nje, akaishia kukutana na watu mwsho wake kuwa Gay.

Case ya hivi haitatuliwi na hayo unayo elezaa, ndo mnfanyaa aingie pabayaaa.

Sent using Jamii Forums mobile app

Umeongea kwa uchung as if my son
 
Watu wenye tabia hizi nimesoma nao primary na secondary. Naweza waweka makundi mawili, kuna dogo primary ukikutana nae anavyoongea unajua kuna kitu hakipo sawa. Alikua anaongea kama binti sio sauti nyembamba but ile pronunciation. Lakini huyu dogo alikua hakai na mabinti na hadi yupo fresh hatuna shaka nae. Kama huyu pia nilimkuta ticha fulani pale Ndanda Boys (Waliosoma pale watamjua) huyu ticha akiongea pronunciation na mikono kama binti maana wana walikua wanampanikisha sometimes alikua anaongea kama anataka kulia. Lakini yeye pia alipita hapo hapo Ndanda Boys kama mwanafunzi na now ameoa fresh.
Halafu kuna mmoja nilikutana nae secondary Huyu alikua kila kitu kama binti na company nayo ni full mabinti. Na sasa namuona anapost post mambo ya fashion kwa kweli ananitia mashaka.
But kama kule Pattaya wanaume wanapigwa sindano hadi six packs zinapotea unaota mtindi. Basi kuwafanya hawa watu kuwa wanaume pure inawzekana.
 
Nakupa solution ya hili tatizo ila sio kisayansi hii ni namna ya kudeal na ishu kama hii kimtaani.

Ni bora awe muhuni kuliko kuwa shoga. Mchukue dogo anza kwenda nae maskani za wahuni ikiwezekana mlishe na ganja kabisa. Akifika huko maskani stori atakazo zisikia na mambo atakayokua anafanya itamuondolea tabia za kike kabisa.

Ni rahisi kuacha uhuni kuliko kuacha ushoga.
 
Dhana ya ushoga haijaeleweka kwa Watanzania wengi. Unamtesa, kumnyanyasa na kumuhukumu mtu ambaye yupo hivyo si kwa matakwa yake, labda ni makuzi, wengine ni victims wa kulawitiwa, nk. Wengine wanamfafano tu ambao kuna watu wanauhusisha na ushoga ila wenyewe hawajajitambua kama ni hivyo. Hawa wote tunawahukumu.

Na wahuni na mabaladhuli wengine wanaowatamani, hao sasa ndiyo mashoga OG maana wanatamani mtu wa jinsia yao tena kwa utashi wao wenyewe. Halafu jamii yetu hawa ndiyo inawasifia na kuona ndiyo watu wa maana na wanaume wa kweli.
 
Back
Top Bottom