Shukrani fantastic 🙏🏽Paragraph yako ya pili ndo imebeba maana nzimaaa ya andiko lako.
Watoto wenye matatizo ya hormones hapa Bongo wanaishia pabayaa kisa ni kunyanyaswaa na kutengwaa kwa jinsia yake husika.
Umemalizaaaa kila kitu.
Sent using Jamii Forums mobile app
MasikiniNilikuwa simfahamu huyu ndugu yangu, ni mtoto wa mama mdogo, nimemfahamu juzi kwenye family gathering event[emoji24]ni damu yangu kabisa halafu kijana, mara ya kwanza nlivomuona tabia zake, na jinsi anavotembea, Nilipata mashaka nikahisi kuna kitu kimempungukia kama mwanaume.
Nlivyokuja kuongea naye sasa oh gosh [emoji24][emoji24]anavoweka mikono, vidole, halafu body language yake anajishebedua kwa pozi za kike kabisa, halafu Muda mwingi alikuwa anashinda jikoni na dada zake sijui wamemzoea.
Nikamvuta pembeni dada yake mmoja kuonyesha mshangao wangu, nikamwambia hili ni janga kwenye familia yetu, akaniambia In very simple way ni shida tu ya homoni..
Kuna waliowahi kuwa na Tatizo hili au ndugu wenye tatizo hilo halafu likarekebishika? Kingereza linaitwa "effeminacy" Maana Nimegoogle nikaona mwanaume kuwa hivyo na tabia za kike haimaanishi kuwa ni shoga, ila kuna uwezekano Mkubwa wa yeye Kuja kuwa shoga.
Janga hili kwenye familia yetu[emoji24][emoji24]
Mkuu,Tabia za kike kwa mtoto wa kiume zinatolewa na msisimamo wa baba pamoja na mabroo kama anal yaani hapa alitakiwa akizingua apewe mabanzi ya shingo mpaka ajue kutofautisha kwamba ke na me katikamaisha
Kwa mfano sis home kipind tupo wadogo utapelekwa sehemu utapiganishwa na wezako wa lika lako ngumi za kufa mtu na ole wako upigwe hapo bro lazima akuongezee mikofi kwa kuabisha family so trck zipo nyingi zakumlea Me
Sio mtoto wakiume akipigwa kidogo anakuja kusema ...yaani utaambiwa wew nenda kamalizane nao waliokupiga so siku nyngine lazima na wew utakiwasha tu
Mtoto wa kiume asifiwi na baba ake bali baba anatakiwa amponde kua wew boya tu hujui lolote sio kama mm enzi zangu nilikua mafia hakuna dem mtaani sijawahi kumla sio wew umekaakaa tu
Zipo njia nyingi zakumfanya mtot wa kiume ajijue yeye ni simba dume na sio jike kwanza mfundishe kuwazarau jinsia ya kike kwamba ni jinsia ya kishamba sana na wala hawajitambui pia ni legelege sana hapa mtoto wa kiume atajiona yeye bora kuliko Me
Mtoto wa kiume akifanya kosa hapa pinga kama unaua mwizi yaani piga sana sio kumwambia oooh unajua mwanangu sijui nini...pigaaaasana....pigaaa mpaka akitoka hapo lazima ajiulize kichwani huyu ni babaangu kwel...ila kwa mtoto wa kike akizingua hapa usimpige tena mwonye tu hapa itamfanya mtoto wa kiume ajijue yeye ni mbegu hivyo lazima akomae
Pia Mara kwa mara mwambie habar ngumu ngumu kichwani mwake kwa mfano hapa mkitia binti wa watu mimba nakufukuza kwangu, au ukifeli shule tafuta pakuishi, au siku hizi unakula sana kama upo kwako yapo mateso mengi ya akili yatakayo msaidie kujilinda nakua mwanaume
Note hizi formula walitumia wazee wetu ndo maana ushoga ulikua ni kama laana yaani ulikuepo ila kwa uchache sana sio saiv baba anamlea mtoto wa kiume kama binti......
Huna unachokijuaaa nakuambia tema mate chini ombaa yasikukutee. Kuna familia 1 ilipata mtoto mwenye matatizo ya hormone km huyo, walikua wana mlea km ambavyo wee unasimuliaa, mtoto wakampelekaaa ktk misingi ya dini pia.
Mtoto aliteswaa na kunyanyaswaa, sio kaka zake, na baba ake, hata dada zake ilikua ni kwa kuibia couz walipewa onyo wasifuatane nae.
Mama ake ndo alikua Pa1 na mtoto, mwsho wa siku mtoto alitafuta furaha nje, akaishia kukutana na watu mwsho wake kuwa Gay.
Case ya hivi haitatuliwi na hayo unayo elezaa, ndo mnfanyaa aingie pabayaaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii lugha huwa mnailazimisha tu jamani, bila hata sababu za msingi. Ona sasa!Umeongea kwa uchung as if my son
Hii lugha huwa mnailazimisha tu jamani, bila hata sababu za msingi. Ona sasa!