Msaada wa kisheria kuwapata watoto baada ya kuhitilafiana na baba yao

Huyu dada kuna kitu hasemi na atajichanganya tu.Atanywea kikombe anachotengeneza kwa uchungu sana.
 
Huyo ana stress huwezi mweleza kitu maana nae alishakuja kulia lia hapa kuhusu mkewe watu wakamuamini basi daily anakuja kuleta ujuaji kwenye nyuzi za aina hii. Nampongeza mkewe kwa kumbadilikia
Msenge we
 
Mwamba aendelee kushikilia hapo hapo.
 
Kumbe kudharauliwa inauma. Angeacha kumsimanga na kumdharau mkewe hayo yote yasingetokea
Mwanaume hatakubali kushindwa kamwe, hususani kuhusu watoto, kama hatatumia busara huyu mwanamke tumeshasikia matukio mengi yanayofanana na hayo mwisho wake ukoje.
 
Nilichogundua wewe uliolewa ili ujishikize tu jamii ikuone una ndoa na pia wazazi wako walikuwa wanakuomba Hela Kwa njia ya kukwambia Hali ngumu Sana huku kwetu kwahiyo ulikuwa unaumia Kwa namna hiyo.

Achaneni kwa wema Tu lakini naona kabisa hiyo kitu unaenda kuitembeza Kwa stress ili upate furaha kumbe ndio unaenda kujiharibu kiakili.

Siku zote wazazi wa mwanamke wakimtegemea binti yao kiuchumi lazima ndoa itakuwa na matatizo tu mana binti atawaza kutafuta Kazi hata weka majukumu ya ndoa Yake Tena.

Umasikini ni laana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ