Msaada wa mawazo: COVID19 inanirejesha nyumbani, baba naye hanitaki

Msaada wa mawazo: COVID19 inanirejesha nyumbani, baba naye hanitaki

Watu dizaini yako ndio mnaodhalilisha wasomi nchi hii.
Inakuwaje hata kuandika Kiswahili kwa ufasaha kunakushinda.?
Hujui tofauti ya hata na ata?
Unataka usipunjwe urithi huku tayari una miaka 37 na digrii juu?
Nakushauri tafuta mume ili upate pa kuishi na kutomsumbua baba yako!
mimi sio mwanamke, ni kijana wa kiume
 
nimeomba nisaidiwe ushauri ila kila mmoja ananishambulia na maneno makali tu uku, mbona wana jamii forum mmekosa sana hekima
 
Nimesoma aya ya kwanza wacha nicomment kwanza, dingi yuko sahihi mpaka hapo huwezi kumshawishi mzee kujiunga hicho chama kwanza utapata laana

Haya naendelea kusoma uzi..
 
Nimesoma kwa makini Maelezo ya Kijana ,ukienda ndani ( logically ) kijana niya yake no kupata huruma toka kwa Meko ili apate UDC au cheo chochote ndo maana akataja ccm na kwamba chama hicho tawala ndo shida kati yake na baba yake.

Ila kwa ujumla hata Meko akipelekewa huu Uzi hawezi kukupa hata mgambo wa kijiji maana Meko ni Mzee wa principle haiwezekani umpeleke baba yako kwenye uongozi ea kijiji kumdai 7 laki utakuwa na laana ww.
Sasa unachoganya ni kutuingiza kwenye vita vyako na baba yako ili yukushutumu alafu Meko aamue kukunusuru ,Meko siyo mjinga hivyo jua anavyombo vya uchunguzi na siyo ajabu kadhafuatilia na kujua hila zako zote.

Msomi usiyojua minor age ni miaka mingapi? Basic ya majumuisho Yangu ime base kwann ataje degree na ccm ,hapo anataka Meko amune ni mwenzetu,msomi na ananyanyasika sababu ya imani yake kwa chama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Viongozi wa kata wako sahihi kabisa

"Wewe inawezekana huna akili timamu"

Kongole kwa mzee wako

Ulinyea kambi Sasa umerudi kulalia mavi yako [emoji44][emoji44]

Shwain

Sent using Jamii Forums mobile app
 
si ni kwetu mkuu
kwenu na mvi zimekuota mpaka kwapani??? Acha ujinga wewe afu eti unampeleka baba yako kwa Uongozi wa mtaa ili akulipe hela yani ningekuwa mimi ndo mzee wako hapo nyumbani Ningekuona ningekodi vibakaa wakutandikeee hasaaa yani pigaa kwelii mbwaaa kabisaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Njoo nikupe hifadhi ila masharti yangu madogo sana mi Mzee wa Busara
1-Kuosha vyombo na kupika
2-Kupiga deki na kufuta vitu haitakiwi ata lepe la vumbi
3-Ni kosa kulala kabla cjafika

Kama uko tayar mkuu niambie nijue nina House Boy aged 37 years ila itabidi nikuite Adult House Boy

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndo akili za vijana wengi makada wa ficiem....ni kula kulala ndo maana chochote jiwe anachosema wanaunga mkono tu...
 
Kwanza ulifanya makosa sana kukosana na baba yako kwa ajili ya vyama vya siasa. Baba duniani unaye mmoja tu, hivi vyama vinakuja na kuondoka, lakini baba ni baba tu. Palepale ulipaswa kukubaliana naye, hata tu katika hali ya kumridhisha, lakini sio kugombana naye kabisa.

Hukupaswa kamwe kumdai baba yako hilo laki saba, huyo ni baba yako. Mambo mangapi amekufanyia wewe? Na bado ulikuwa unakaa kwake, nyumba bure, chakula bure, maji bure, umeme bure, labda hata ukiugua mzee anahaingaika, tv (kama ilikuwepo) bure na mambo mengi alikuwa anakufanyia, Kweli ulishindwa kabisa kuachilia hiyo laki saba? Jinga kabisa! Sasa hiyo laki imekufikisha wapi?

Haya ukamdai na kumdhalilisha mzee wa watu mpaka serikali ya mtaa, huko ni kujitafutia laana kabisa. Ninaongea kama baba na moyo unaniuma kuwaza kuwa mtoto niliyemhudumia tangu akiwa hajitambui mpaka hapo halafu anageuka na kwenda kunishtaki! Hilo lilikuwa ni kosa kubwa mno!

Kujionyesha usivyo kuwa na uwezo hata wa kupambana na kujitegemea mwenyewe unarudi kwa baba huyo huyo uliyemdhalilisha! Halafu unategemea ukuchekee tu! Hivi watoto wa siku hizi mnakwama wapi kwenye hizo akili zenu? Mnajifanya wajanja mpaka mnadhalilisha wazee wenu kumbe kichwani hamna kitu kabisa!

Ungelikuwa kweli mjanja ungelipambana utoboe mwenyewe! Una zaidi ya miaka 30 halafu unarudi kwa baba kulia lia, bure kabisa!

Yaani wewe unarudi tu kwa baba maisha yakikugonga, maana yake kama mambo yako yangelikuwa mazuri usingelirudi kabisa kwa baba yako! Hii ni akili au matope?

Wewe sasa ni mtu mzima, hupaswi kabisa kumtegemea baba yako kuendesha maisha yako, unapaswa kujitegemea mwenyewe.

Kwa taarifa yako hakuna sheria yeyote ile inayomlazimisha baba kuendelea kumtunza mtoto mwenye umri kama wa kwako! haipo hiyo sheria, hivyo hakuna utakapoweza kwenda wakakusaidia!

Unachotakiwa kufanya, kwanza fahamu kuwa umemkosea sana baba yako na ulimdhalilisha mno, na hivyo uwe tayari kumuomba msamaha ili uhusiano wa baba na mwana urudi, sio tu ili kwamba upate mahali pa kukaa.

Pili, tafuta mzee wa karibu na baba yako, anaweza akawa baba mkubwa au mdogo, mjomba, hata rafiki yake. Uende ukaongee naye taratibu, huku kweli ukionyesha kutambua na kukiri makosa yako na kuomba msamaha.

Tatu, pambana kwa ajili ya maisha yako, sio kila saa unarudi kwa baba kulia lia kama mtoto wa chekechea.

Nne, vijana wote muwe na adabu kwa wazazi wenu, achaneni na huo upuuzi wa kileo.
Mwisho, nawaomba msamaha wote kwa kutumia lugha kali kidogo! Admin, please do not punish me
 
mkuu mimi bado ni mtoto na pale ni kwetu
Wewe ulivyomdai lak 7 Tena mbele ya uongoz ukadhani umemkomesha.? Unajua katumia kias kukulea hadi umri huo? Unajua aliinngia madeni kias gani? Wewe ulifikiri laki7 ndio kila kitu? JITAMBUE!!!!
Fanya haya,
1. Usiingie home kibabe

2.Tafuta wazee rafik zake waombe waingilie kati maana peke yako huwezi

3.kiri makosa na uombe radhi
 
Back
Top Bottom