4 7mbatizaji

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2019
Posts
8,406
Reaction score
9,619
Hii ndo habari iliyotufikia hivi punde, kwamba msafara wa Makamu Mwenyeki (Chadema),Mh lissu ,umezuiliwa kuingia Ngorongoro ili kufanya Mkutano wake na wananchi wa Ngorongoro,

Hata ivyo taarifa za awali zinasema msafara wa M/mwenyekiti mh Lissu, wamefunga barabara na wamehaidi kutohondoka pale mpaka watakapo rusiwa kuingia,

Swali Ngolongolo imekua sehemu nchi ndani ya chini mpaka kuzuia Makam kutorusiwa kwenda onana na wananchi wa Ngorongoro?

Serikali tupe majibu

Your browser is not able to display this video.

Tundu Lissu na wananchi wamekaa katikati ya barabara ya kuelekea Karatu hadi watakaporuhusiwa kuingia Ngorongoro. Tundu Lissu amesisitiza, Ngorongoro siyo gerezani na Maasai siyo watumwa.

 
Hapo kuna Watalii Macho ya Dunia YANAPITA......Dunia Kijiji

Tumetangaza Royol Tour.....kama anakwenda Kutalii?

Ngorongoro Multiple land....WaTanzania wanaishi huko kama Ukerewe

Huko siyo Taliban Mitutu siyo Sehemu YAKE...

Conservation siyo wanyama tu Binadam wa Kwanza aliish Olduvai na Wanyama tena Aliwinda wanyamapori ....Fikirieni kwa Upana why Maasai.....why UNESCO

Shindaneni kwa HOJA SIYO MITUTU

Rethink!!!!
 
 

Attachments

  • 20230909_132028.jpg
    218.8 KB · Views: 1
Je wamekata visa? Hiyo ni nchi nyingine kama hawajui
 
Hayo mambo ndio yanaleta maswali zaidi, kitu gani kinafichwa huko mpaka kuwe na zuio, juzi wabunge wa umoja wa ulaya, leo Lissu, mwisho tutaambiwa Ngorongoro ilishauzwa hiivyo sio mali ya Watanzania
Hizi ni dalili za ukoloni kurudi Tanzania leo hii mbuga zinauzwa kesho wataanza kuuza ardhi za makazi yetu wataanza kupewa wageni wamiliki
 
Wengi tunaamini kuwa Makamu Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu ni msomi na mjuzi wa sheria za Tanzania na Kimataifa. Kwa nini Lissu anataka kuhutubia mkutano wa hadhara katika nchi jirani ya Loliondo? Nani kamwambia Lisu Ngorongoro ni Tanzania ilhali ni moja ya Emirates za Arabu? Hivi hakuna wanaomshauri Lissu kuhusu mipaka ya nchi yetu? Hivi bado Chadema wanaamini mipaka ya 1961? Shuuubaaamit.
 
Shida nni hapo,Lissu kwenda ngorongoro au ukufanya mkutano Ngorongoro?

Kama shida nikufanya mkutano ngorongoro uwezi kuzuia msafara wake labda kabadilisha mawazo anaenda kutalii,waende eneo la tukio wakazue mkutano sio kuzuia msafara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…