Msafara wa Makamu Mwenyekiti Chadema, Tundu Lissu wazuiliwa kuingia Ngorongoro
Naambiwa mabom yamepigwa ya kutawanya msafara wa mh Lissu mwenye clip tafadhali kutoka eneo la tukio
 
Avunje barrier aingie akisema haondoki ataumia yeye maana waliozuia wanaadilisha shift ye itabidi asimame hapohapoSa
Sasa na watalii itakuaje... wao watakua wanaruka angani?
Vipi picha kimataifa... huoni inaleta picha mbaya?
Yaani barabara imefungea,wewe unawaza kubadilisha shift... aiseem
 
Hizi ni dalili za ukoloni kurudi Tanzania leo hii mbuga zinauzwa kesho wataanza kuuza ardhi za makazi yetu wataanza kupewa wageni wamiliki
Kuna siku inakuja, japo hatujui ni lini wala saa ngapi ila naamini ipo inakuja, Watanzania wataamka kutoka usingizini/Ulimbukeni hakika naona kabisa kuna viongozi watakimbia hii Nchi.
 
Sasa na watalii itakuaje... wao watakua wanaruka angani?
Vipi picha kimataifa... huoni inaleta picha mbaya?
Yaani barabara imefungea,wewe unawaza kubadilisha shift... aiseem
Hehehee huyu naye unaweza kuta ni miongoni mwa wapiga zuio.
 
Hii ndo habari iliyotufikia hivi punde, kwamba msafara wa Makamu Mwenyeki (Chadema),Mh lissu ,umezuiliwa kuingia Ngorongoro ili kufanya Mkutano wake na wananchi wa Ngorongoro,

Hata ivyo taarifa za awali zinasema msafara wa M/mwenyekiti mh Lissu, wamefunga barabara na wamehaidi kutohondoka pale mpaka watakapo rusiwa kuingia,

Swali Ngolongolo imekua sehemu nchi ndani ya chini mpaka kuzuia Makam kutorusiwa kwenda onana na wananchi wa Ngorongoro?

Serikali tupe majibu
View attachment 2743917
Tundu Lissu na wananchi wamekaa katikati ya barabara hadi watakaporuhusiwa kuingia Ngorongoro. Tundu Lissu amesisitiza, Ngorongoro siyo gerezani na Maasai siyo watumwa.
Endeleeni kusubiria majibu kutoka Kwa Serikali
 
Polisi wanavunja katiba wazi wazi wala.hawana hofu.

Nani anawapa hii jeuri?
 
Back
Top Bottom