Msafara wa Makamu Mwenyekiti Chadema, Tundu Lissu wazuiliwa kuingia Ngorongoro
Hapo kuna Watalii Macho ya Dunia YANAPITA......Dunia Kijiji

Tumetangaza Royol Tour.....
Ngorongoro Multiple land....WaTanzania wanaishi huko kama Ukerewe

Huko siyo Taliban Mitutu siyo Sehemu YAKE...

Rethink!!!!
Sababu hii ni ya kiuoumbavu sana, hata chizi hawezi kusikiliza huu ujinga!
 
Hii ndo habari iliyotufikia hivi punde, kwamba msafara wa Makamu Mwenyeki (Chadema),Mh lissu ,umezuiliwa kuingia Ngorongoro ili kufanya Mkutano wake na wananchi wa Ngorongoro,

Hata ivyo taarifa za awali zinasema msafara wa M/mwenyekiti mh Lissu, wamefunga barabara na wamehaidi kutohondoka pale mpaka watakapo rusiwa kuingia,

Swali Ngolongolo imekua sehemu nchi ndani ya chini mpaka kuzuia Makam kutorusiwa kwenda onana na wananchi wa Ngorongoro?

Serikali tupe majibu
View attachment 2743917
Tundu Lissu na wananchi wamekaa katikati ya barabara ya kuelekea Karatu hadi watakaporuhusiwa kuingia Ngorongoro. Tundu Lissu amesisitiza, Ngorongoro siyo gerezani na Maasai siyo watumwa.

Hakuna kurudi nyuma muda wa kukomaa na udhwalimu ni sasa
 
Amebeba chakula cha kutosha na maji?au ikifika saa 4 usiku anaenda kulala hotelini?
 
Unaandaa Royal Tour at the same time una haribu image ya utalii kwa sababu na mbinu za kifala pale Ngorongoro ni wapumbavu pekee hufanya maamuzi ya namna hii.

Ifike hatua tuwe tunapima IQ ya mtu kabla hajawa kiongozi.
 
Hii ndo habari iliyotufikia hivi punde, kwamba msafara wa Makamu Mwenyeki (Chadema),Mh lissu ,umezuiliwa kuingia Ngorongoro ili kufanya Mkutano wake na wananchi wa Ngorongoro,

Hata ivyo taarifa za awali zinasema msafara wa M/mwenyekiti mh Lissu, wamefunga barabara na wamehaidi kutohondoka pale mpaka watakapo rusiwa kuingia,

Swali Ngolongolo imekua sehemu nchi ndani ya chini mpaka kuzuia Makam kutorusiwa kwenda onana na wananchi wa Ngorongoro?

Serikali tupe majibu
[/QUOT
Hii ndo habari iliyotufikia hivi punde, kwamba msafara wa Makamu Mwenyeki (Chadema),Mh lissu ,umezuiliwa kuingia Ngorongoro ili kufanya Mkutano wake na wananchi wa Ngorongoro,

Hata ivyo taarifa za awali zinasema msafara wa M/mwenyekiti mh Lissu, wamefunga barabara na wamehaidi kutohondoka pale mpaka watakapo rusiwa kuingia,

Swali Ngolongolo imekua sehemu nchi ndani ya chini mpaka kuzuia Makam kutorusiwa kwenda onana na wananchi wa Ngorongoro?

Serikali tupe majibu
View attachment 2743917
Tundu Lissu na wananchi wamekaa katikati ya barabara ya kuelekea Karatu hadi watakaporuhusiwa kuingia Ngorongoro. Tundu Lissu amesisitiza, Ngorongoro siyo gerezani na Maasai siyo watumwa.
View attachment 2743928View attachment 2743929
ile ya jana ilikua longido sio?
Au wasanifu wa mitandao na tekinologia walikua kazini 🤓
 
Back
Top Bottom