Msafara wa Makamu Mwenyekiti Chadema, Tundu Lissu wazuiliwa kuingia Ngorongoro
Wengi tunaamini kuwa Makamu Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu ni msomi na mjuzi wa sheria za Tanzania na Kimataifa. Kwa nini Lissu anataka kuhutubia mkutano wa hadhara katika nchi jirani ya Loliondo? Nani kamwambia Lisu Ngorongoro ni Tanzania ilhali ni moja ya Emirates za Arabu? Hivi hakuna wanaomshauri Lissu kuhusu mipaka ya nchi yetu? Hivi bado Chadema wanaamini mipaka ya 1961? Shuuubaaamit.
Ha ha haaaaa. Ramani ya TZ itakuwa na vijimapengo kwa sasa
 
Lengo la Tundu Lissu ni kwenda kinyume na faida ya ROYAL TOUR...

TL anawatumikia akina nani wa huko nje?!!!
 
Tundu Lissu anako pa kukimbilia...

Lema anako pa kukimbilia....

Mdude je ?!!

Wewe je?!!
 
Wengi tunaamini kuwa Makamu Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu ni msomi na mjuzi wa sheria za Tanzania na Kimataifa. Kwa nini Lissu anataka kuhutubia mkutano wa hadhara katika nchi jirani ya Loliondo? Nani kamwambia Lisu Ngorongoro ni Tanzania ilhali ni moja ya Emirates za Arabu? Hivi hakuna wanaomshauri Lissu kuhusu mipaka ya nchi yetu? Hivi bado Chadema wanaamini mipaka ya 1961? Shuuubaaamit.
Anataka kuingia bila kibali kwenye nchi ya "Republic of Umanga" inamaana hajui kwamba lile eneo limeuzwa kwa Wajomba wa mtu!
Mheshimiwa Tundu Ole Lissu akanywe kuchokoza nchi jirani!
 
Wengi tunaamini kuwa Makamu Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu ni msomi na mjuzi wa sheria za Tanzania na Kimataifa. Kwa nini Lissu anataka kuhutubia mkutano wa hadhara katika nchi jirani ya Loliondo? Nani kamwambia Lisu Ngorongoro ni Tanzania ilhali ni moja ya Emirates za Arabu? Hivi hakuna wanaomshauri Lissu kuhusu mipaka ya nchi yetu? Hivi bado Chadema wanaamini mipaka ya 1961? Shuuubaaamit.
Ohooo...!
 
Hii ndo habari iliyotufikia hivi punde, kwamba msafara wa Makamu Mwenyeki (Chadema),Mh lissu ,umezuiliwa kuingia Ngorongoro ili kufanya Mkutano wake na wananchi wa Ngorongoro,

Hata ivyo taarifa za awali zinasema msafara wa M/mwenyekiti mh Lissu, wamefunga barabara na wamehaidi kutohondoka pale mpaka watakapo rusiwa kuingia,

Swali Ngolongolo imekua sehemu nchi ndani ya chini mpaka kuzuia Makam kutorusiwa kwenda onana na wananchi wa Ngorongoro?

Serikali tupe majibu
View attachment 2743917
Tundu Lissu na wananchi wamekaa katikati ya barabara ya kuelekea Karatu hadi watakaporuhusiwa kuingia Ngorongoro. Tundu Lissu amesisitiza, Ngorongoro siyo gerezani na Maasai siyo watumwa.
View attachment 2743928View attachment 2743929
Hiyo Mh kwake inasimamia Mhuni na si Mheshimiwa
 
Yaani wameziba barabara wajingi sana hawa
 
Wajingi tunhao na wapimbivu
 
Wengi tunaamini kuwa Makamu Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu ni msomi na mjuzi wa sheria za Tanzania na Kimataifa. Kwa nini Lissu anataka kuhutubia mkutano wa hadhara katika nchi jirani ya Loliondo? Nani kamwambia Lisu Ngorongoro ni Tanzania ilhali ni moja ya Emirates za Arabu? Hivi hakuna wanaomshauri Lissu kuhusu mipaka ya nchi yetu? Hivi bado Chadema wanaamini mipaka ya 1961? Shuuubaaamit.
Hata mimi pia nimeshanga Lissu inaingia nchi ya watu bila visa
 
Back
Top Bottom