Boniphace Bembele Ng'wita
JF-Expert Member
- Dec 25, 2013
- 3,475
- 1,860
Mkuu kwanza ni kushukuru kwa mchango wako mzuri sana , kimsingi kunatatzo sehem kwenye namna ambavyo viongozi ngazi ya juu wanachukulia mambo! Huenda waamasai wasiwe sawa au wakawa wamevamia swali ambalo najiuliza ni je jamii hii ya watu masikini wanawezaje kuhamishwa tu? Je baada ya kuhamishwa ni nini faida yake?Wamasai hawana nchi nyingine zaidi ya Tanganyika, na ardhi yao ni hiyo wanayoishi. Waarabu wana kwao. Wamasai waondolewe kwenye ardhi yao, kisa kuna Waarabu wanataka kuifanya iwe sehemu ya UAE. Wewe unaona ni sahihi.
Wema na hekima ni kusimama na wananchi wenzako bila ya kujali hali zao. Tupokee wawekezaji lakini siyo kwa gharama ya kuwadhulumu watu wetu.
Wema kwako na sisi wengine sote, ni kusimama na wenzetu wanaoonewa.
Tufanye mfano, watu huhamishwa kupisha ujenzi, au mladi fulani wa kimaendeleo wenye tija na siha kubwa kwa taifa, mfano miundombinu n.k swali je hao wamaasai kuna faida ipi kama taifa tunaipata?
Jambo jingine ambalo naanza kuliamini hapo awali sikuwa nnaliamini ni juu ya eneo la ngorongoro kuuzwa kwa waarabu, nilijua ni uvumi na uzandiki tu lkn kwa hali nnayo iona kwa sasa mnaanza kuamini kubwa kuna kitu kinacho fanana au kuwa sawa na hicho! Kama ndivyo kweli! Basi kunahaja ya kujiuliza maswali mhim sana kwa taifa! Je tuna think tank nzuri ya taifa kwa ustawi wa vizazi vijavyo?
Tunaweza sasa tukauwana tukachomana tukafungana tukafanyiana mabaya na kila aina ya chuki ila tukumbuke hatuna taifa jingine linaloitwa Tanzania, wala hatuna ardhi nyingine ya kukimbilia, tujifunze kuitunza amani yetu kwa kuheshimiana na kuvumiliana bila kudhuliana...
Kama ni kweli waamsai wamehamishwa kwa sabb za EAU tunatatzo kubwa linakuja mbele, tena kubwa haswaa
B