Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 15,101
- 56,054
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiyo yapo maeneo haturuhusiwi kwenda kama Zanzibar Mtanganyika lazima aingie kwa pasport japo ni sehemu ya TanzaniaKumbe hii NCHI KUNA MAENEO WATANZANIA HAWATAKIWI KWENDA?
BASI TUNGETANGAZIWA KWANINI WANAZUIA KAMA KUNA MAGONJWA KAMA KIPINDUPINDU AU CORONA?
Ukielekezwa utii mbwa utamtii?Nguvu za Mungu yupi anayemuelekeza kusema ovyo kwa viongozi wakati maandiko yanahimiza kutii mamlaka.
Hii ndo habari iliyotufikia hivi punde, kwamba msafara wa Makamu Mwenyeki (Chadema),Mh lissu ,umezuiliwa kuingia Ngorongoro ili kufanya Mkutano wake na wananchi wa Ngorongoro,
Hata ivyo taarifa za awali zinasema msafara wa M/mwenyekiti mh Lissu, wamefunga barabara na wamehaidi kutohondoka pale mpaka watakapo rusiwa kuingia,
Swali Ngolongolo imekua sehemu nchi ndani ya chini mpaka kuzuia Makam kutorusiwa kwenda onana na wananchi wa Ngorongoro?
Serikali tupe majibu
View attachment 2743917
Tundu Lissu na wananchi wamekaa katikati ya barabara ya kuelekea Karatu hadi watakaporuhusiwa kuingia Ngorongoro. Tundu Lissu amesisitiza, Ngorongoro siyo gerezani na Maasai siyo watumwa.
View attachment 2743928View attachment 2743929
Ina maana wataendelea kubaki hapo kama wale ‘Wasabato Masalia’ waliokuwa wamepiga kambi pale JNIA ( Airport ) miaka ile hadi wakajapukutika wenyewe baada ya kukabwa na njaa!
Huwezi changia bila dhalilisha utu wa mtuHuyo chiba anatafuta Kiki tu kuwazima akina mwambukusi
Je wote kwenye hilo kundi wana msimamo sawa? Mapigo ya moyo yanafanana?Hii ndo habari iliyotufikia hivi punde, kwamba msafara wa Makamu Mwenyeki (Chadema),Mh lissu ,umezuiliwa kuingia Ngorongoro ili kufanya Mkutano wake na wananchi wa Ngorongoro,
Hata ivyo taarifa za awali zinasema msafara wa M/mwenyekiti mh Lissu, wamefunga barabara na wamehaidi kutohondoka pale mpaka watakapo rusiwa kuingia,
Swali Ngolongolo imekua sehemu nchi ndani ya chini mpaka kuzuia Makam kutorusiwa kwenda onana na wananchi wa Ngorongoro?
Serikali tupe majibu
View attachment 2743917
Tundu Lissu na wananchi wamekaa katikati ya barabara ya kuelekea Karatu hadi watakaporuhusiwa kuingia Ngorongoro. Tundu Lissu amesisitiza, Ngorongoro siyo gerezani na Maasai siyo watumwa.
View attachment 2743928View attachment 2743929
Wafinywe upate faida gani?Hao wafinywe tu.
AsikilizweHuenda huyu mwenye hii thread akawa na hoja |👉🏼 Chadema imevunja sheria, namshangaa sana Tundu Lissu
Tulilie haki ya kuishi ya wamasaiHii ndo habari iliyotufikia hivi punde, kwamba msafara wa Makamu Mwenyeki (Chadema),Mh lissu ,umezuiliwa kuingia Ngorongoro ili kufanya Mkutano wake na wananchi wa Ngorongoro,
Hata ivyo taarifa za awali zinasema msafara wa M/mwenyekiti mh Lissu, wamefunga barabara na wamehaidi kutohondoka pale mpaka watakapo rusiwa kuingia,
Swali Ngolongolo imekua sehemu nchi ndani ya chini mpaka kuzuia Makam kutorusiwa kwenda onana na wananchi wa Ngorongoro?
Serikali tupe majibu
View attachment 2743917
Tundu Lissu na wananchi wamekaa katikati ya barabara ya kuelekea Karatu hadi watakaporuhusiwa kuingia Ngorongoro. Tundu Lissu amesisitiza, Ngorongoro siyo gerezani na Maasai siyo watumwa.
View attachment 2743928View attachment 2743929
Wafinywe wamefanya kosa gani? Halafu baadae utadai Uislam ni dini ya hakiHao wafinywe tu.
Naunga mkono.Hii ndo habari iliyotufikia hivi punde, kwamba msafara wa Makamu Mwenyeki (Chadema),Mh lissu ,umezuiliwa kuingia Ngorongoro ili kufanya Mkutano wake na wananchi wa Ngorongoro,
Hata ivyo taarifa za awali zinasema msafara wa M/mwenyekiti mh Lissu, wamefunga barabara na wamehaidi kutohondoka pale mpaka watakapo rusiwa kuingia,
Swali Ngolongolo imekua sehemu nchi ndani ya chini mpaka kuzuia Makam kutorusiwa kwenda onana na wananchi wa Ngorongoro?
Serikali tupe majibu
View attachment 2743917
Tundu Lissu na wananchi wamekaa katikati ya barabara ya kuelekea Karatu hadi watakaporuhusiwa kuingia Ngorongoro. Tundu Lissu amesisitiza, Ngorongoro siyo gerezani na Maasai siyo watumwa.
View attachment 2743928View attachment 2743929
Kufunga barabara ni kosa la uhujumu uchumi.Wafinywe wamefanya kosa gani? Halafu baadae utadai Uislam ni dini ya haki
wanao ona mbali kisiasa ndani ya chama cha huyu jamaa, wameshajitenga na wanaendelea kujiweka kando zaid na harakati za huyu jamaa.Hii ndo habari iliyotufikia hivi punde, kwamba msafara wa Makamu Mwenyeki (Chadema),Mh lissu ,umezuiliwa kuingia Ngorongoro ili kufanya Mkutano wake na wananchi wa Ngorongoro,
Hata ivyo taarifa za awali zinasema msafara wa M/mwenyekiti mh Lissu, wamefunga barabara na wamehaidi kutohondoka pale mpaka watakapo rusiwa kuingia,
Swali Ngolongolo imekua sehemu nchi ndani ya chini mpaka kuzuia Makam kutorusiwa kwenda onana na wananchi wa Ngorongoro?
Serikali tupe majibu
View attachment 2743917
Tundu Lissu na wananchi wamekaa katikati ya barabara ya kuelekea Karatu hadi watakaporuhusiwa kuingia Ngorongoro. Tundu Lissu amesisitiza, Ngorongoro siyo gerezani na Maasai siyo watumwa.
View attachment 2743928e
View attachment 2743929