Uchaguzi 2020 Msafara wa Mgombea Mwenza CHADEMA, Salum Mwalimu wapigwa mabomu Ifakara

Atakuwa anaya onaga kwenye taarifa ya habari tu, sio kitu cha kutishia watu tena haswa wanaoyajua. Wengi huwa wakisikia wanadhani ni risasi ndio maana hupata taharuki.
Kwa hio hapo kwny video umewaona raia wakiwa wanakimbia sio?
 
Hii hapa.
 
Roho imeniuma sana. Salumu mwalimu anapigwa mabomu na kufokewa kama mkimbizi asiye na haki. Wananchi wanataka kumsikiliza lakini polisi wanamharass na kumlazimisha aondoke. Hapana hii sio sawa kabisa. Sisi wote ni watanzania na Tanzania ni yetu sote.
Salum kazingua angekaza mwanzo mwisho, pale kulikuwa hamna kesi

Sent from my TECNO KD6 using JamiiForums mobile app
 
nimefurahi sana polisi wanashiriki vema kuwahujumu CCM bila wao wenyewe kujua.

Hayo mabomu ya machozi yanatapakaa mji mzima yanawaumiza wanachadema na wanaccm bila kubagua na hapo ndipo wanaCCM nao wanaamua kuibwaga CCM kwenye sanduku la kura.
 
Jana mkurugenzi wa tume ya taifa ya uchaguzi alisema yeye na IGP wamevumilia sana sasa polisi wataanza kupiga mabomu ndo utekelezaji huo umeanza kwa amri ya Mkurugenzi wa tume ya taifa ya uchaguzi...
ni wazi kabisa mkurugenzi wa tume ya uchaguzi ameanza kujiingiza kwenye 18 ya The Hague bila yeye mwenyewe kujua.
 
Atakuwa anaya onaga kwenye taarifa ya habari tu, sio kitu cha kutishia watu tena haswa wanaoyajua. Wengi huwa wakisikia wanadhani ni risasi ndio maana hupata taharuki.
Hayo yalikuaga wkt yanapigwa tunahakikisha tuna yale maji ya kandoro,likifyatuliwa tu imooo.
 
Aisee labda hivyo.
Yaani mkuu hawa askari huu uonevu kuna siku uta backfire then tutaongea vitu vingine kabisa.

Kiukweli mbinu zao ni hafifu na hawana nyenzo za kupambana na hao wanao waonea just in case wakitumia mobb kufanya revenge.

Kwa hapa tulipofikia akipatikana raia mmoja tu akamvaa askari na kumpoka silaha, tutakuwa na historia mbovu sana huko mbeleni kwa sabab utakua ni mfano mbaya kwa wengine wanao onewa na watauawa askari wetu na familia zao.
 
yana mwisho haya, na mwisho wake hawa wanaoamuru haya au kuyashadadia (ule ukoo wa akina 'polepole') watafikishwa mbele ya sheria!
 
Hivi Mgombea Mwenza wa Magu yule Mama Samia Suluhu nae hua anapigwa mabomu ya machozi hivi hivi?au yeye hua hasimami barabarani kusalimia wananchi?
Mkuu haya mambo yanatia hasira sana. Huu ni uonevu wa waziwazi kabisa.
 
yanawasha usoni balaa🤣🤣🤣
Siku ya kwanza kujikuta kwenye hilo balaa yaani nilipandwa hasira na maumivu kwa pamoja. Niipiga kelele za kama vile nabench press kilo 100.
 
Bila onyo? Walitokea tu na kuanza kurusha mabomu?
Onyo la nini?Unaelewa sheria za uchaguzi zinasemaje?Unaelewa kuwa kama mgombea fulani ana ratiba ya kampeni mfano Rombo basi huyo mgombea ana haki ya kusimama popote pale ndani ya Rombo na kuhutubia?
 
Polisi wengi ni vilaza form 4 failure. Wajinga sana kama Lissu alivyowaambia
 
Umesahau kuwa mwenyekiti wa NEC jana katoa ruhusa watu kupigwa mabomu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…