Uchaguzi 2020 Msafara wa Mgombea Mwenza CHADEMA, Salum Mwalimu wapigwa mabomu Ifakara

Uchaguzi 2020 Msafara wa Mgombea Mwenza CHADEMA, Salum Mwalimu wapigwa mabomu Ifakara

Nimeona video ya mgombea mwenza wa CHADEMA akipigwa mabomu kisa kusimama na kuwasalimia wananchi. Roho imeniuma sana.

Nilikuwa nikiona watu wanajivisha mabomu na kwenda kulipua sehemu nilikuwa nashindwa kuelewa kwa nini mtu anafikia hatua hiyo, ila sasa nimeelewa kwa nini watu hujitoa muhanga.

Rais Magufuli anapita kila sehemu na kusalimia watu lakini hakuna wa kumgusa. Polisi mnahatarisha amani ya nchi.
View attachment 1585538
Mkurugenzi wa uchaguzi katutangazia jana kuwa sasa tutakuwa tunapigwa mabomu. Ni amri kutoka juu
 
jamani tuwe wakweli sasa mtu unapita katikati ya mitaa ya mji kabisa unafunga mtaa unaanza kuhutubia watu gari zingine hazina pa kwenda maduka ya watu ghafla vibaka wanajaa milangni ukiambiwa toka unajaza vibaka maduka ya watu hutaki

Hii video ni ushahidi wa upuuzi wa Chadema unaendaje katikati ya mtaa na kufunga mtaa?
 
Jana mkurugenzi wa tume ya taifa ya uchaguzi alisema yeye na IGP wamevumilia sana sasa polisi wataanza kupiga mabomu ndo utekelezaji huo umeanza kwa amri ya Mkurugenzi wa tume ya taifa ya uchaguzi.

Kama mgombea ana mkutano katika jimbo au wilaya fulani inamaana katika jimbo au wilaya hiyo anahaki ya kuongea na jimbo au wilaya nzima, ndiyo maana wagombea hawaingiliani sasa sijui Mkurugenzi wa tume ya taifa ya uchaguzi anaumia nini na ni kwa vyama vya upinzani tu, ccm hilo haliwahusu wao mikutano ni kila mahali popote na mda wowote.
Kwa Sasa CDM hata wakiambiwa wastop kupiga kampeni, hakika naamini CCM na Magufuli tutawazika rasmi %100
 
Wananchi sasa hawayaogopi tena haya mabomu.
Zamani mlio tu, kila mtu analala chini, saa hizi wanasimama tu na kushabikia.

Tunakoelekea ni hatariiii! Tuhuma za polisi

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Mkurugenzi wa uchaguzi katutangazia jana kuwa sasa tutakuwa tunapigwa mabomu. Ni amri kutoka juu
Huyu 'mshenzi' Kiama chake kinakuja.
Screenshot_20200930-104404.jpg
 
Chadema wameishiwa watu wanaenda kuvamia mitaa ya katikati ya mji yenye maduka na masoko kuzuia wengine wasitumie barabara hapo sehemu zenye shughuli nyingi za biashara ona hapo wanazuia shughuli za wananchi wengine
 
SASA MTU UMESHATAHADHARISHWA USIFANE KITU WEWE UNAFANYA UANTAKIWA UIGWE TU HAMNA NAMNA WAPIGWE TUUUU
Kajifunze kuandika halafu urudi jukwaani, mtaji wa CCM ni wajinga kama wewe, Magufuli mbona anasimama kusalimia wananchi na hapigwi mabomu?
 
Kajifunze kuandika halafu urudi jukwaani, mtaji wa CCM ni wajinga kama wewe, Magufuli mbona anasimama kusalimia wananchi na hapigwi mabomu?
HUYO jpm haendi nje ya ratiba na huwaga sibishani na watoto waliotungwa mimba na mama zao kwa kubakwa bar kama wewe huwezi kuwana akili timamu akiliyako inanuka pombe tu
 
Kwa video hii, Mwalimu kawa muungwana sana, otherwise hali ingechafuka. Polisi wameonyesha tena dhahiri uwezo wao mdogo mno katika kutumia bongo zao.

Haya ni madhara ya kuajiri polisi kwa kigezo cha urefu au watu sio na makovu
 
HUYO jpm haendi nje ya ratiba na huwaga sibishani na watoto waliotungwa mimba na mama zao kwa kubakwa bar kama wewe huwezi kuwana akili timamu akiliyako inanuka pombe tu
Wewe mbwa mwenyewe una mimba umetungwa ndio maana hujielewi pumbavu, Kazuramimba, Kigoma msafara wa Lissu ulizuiwa sababu Rais alikuwa anafanya mkutano kinyume cha ratiba. WAPUMBAVU KAMA WEWE NDIO MTAJI WA CCM
 
A
jamani tuwe wakweli sasa mtu unapita katikati ya mitaa ya mji kabisa unafunga mtaa unaanza kuhutubia watu gari zingine hazina pa kwenda maduka ya watu ghafla vibaka wanajaa milangni ukiambiwa toka unajaza vibaka maduka ya watu hutaki

Hii video ni ushahidi wa upuuzi wa Chadema unaendaje katikati ya mtaa na kufunga mtaa?
Anaposalimia Magufuli huwa anasimama chochoroni?
 
Back
Top Bottom