Mzizi wa Mbuyu
JF-Expert Member
- May 15, 2009
- 7,375
- 6,958
Nimeona upumbavu waliofanya Polisi, kama ndio kikao cha eti wakuu wa TISS wamewashauri kufanya hivyo, basi nchi hii iko hatarini kuangamia!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Weka hiyo video basi,tuone amekatika vipande vingapiNimeona video ya mgombea mwenza wa CHADEMA akipigwa mabomu kisa kusimama na kuwasalimia wananchi. Roho imeniuma sana. Nilikuwa nikiona watu wanajivisha mabomu na kwenda kulipua sehemu nilikuwa nashindwa kuelewa kwa nini mtu anafikia hatua hiyo, ila sasa nimeelewa kwa nini watu hujitoa muhanga. Rais Magufuli anapita kila sehemu na kusalimia watu lakini hakuna wa kumgusa. Polisi mnahatarisha amani ya nchi.
Ni MhutuMsukuma mwenzako ndiyo ametufikisha mahali hapa
Huyu pichani ndiye amesikika akiamuruNimeona video ya mgombea mwenza wa CHADEMA akipigwa mabomu kisa kusimama na kuwasalimia wananchi. Roho imeniuma sana. Nilikuwa nikiona watu wanajivisha mabomu na kwenda kulipua sehemu nilikuwa nashindwa kuelewa kwa nini mtu anafikia hatua hiyo, ila sasa nimeelewa kwa nini watu hujitoa muhanga. Rais Magufuli anapita kila sehemu na kusalimia watu lakini hakuna wa kumgusa. Polisi mnahatarisha amani ya nchi.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ni Mhutu
Hakuna msukuma mwenye roho mbaya km huyu mkuy...... Hii tabia yake ovu ya miaka 5 iliyopita inadhihirisha yeye sio mtz ni mhutuMsukuma mwenzako ndiyo ametufikisha mahali hapa
SASA MTU UMESHATAHADHARISHWA USIFANE KITU WEWE UNAFANYA UANTAKIWA UIGWE TU HAMNA NAMNA WAPIGWE TUUUUBaada ya Wilson Mahera kutoa maagizo ya kushughulikiwa kwa Wagombea wanaofanya mikutano nje ya ratiba zao , tayari utekelezaji wake umeanza kwa kishindo .
Msafara wa Mgombea mwenza wa Chadema Mh Salum Mwalimu leo umevurumishiwa mabomu ya Machozi yasiyo na idadi huko ifakara wakati akisalimiana na wananchi waliomzuia njiani akiwa kwenye harakati za kampeni
Kama kupigwa huko Kuna wainua na kuwapa umaarufu Ni sawaSASA MTU UMESHATAHADHARISHWA USIFANE KITU WEWE UNAFANYA UANTAKIWA UIGWE TU HAMNA NAMNA WAPIGWE TUUUU
Nikiwa Arusha ilikuwa vitu vya kawaida sana, dawa yake chupa ndogo tu ya maji unakuwa nayo kwishaa.
Ukihudhuria mkutano wa Chadema unabeba maji ya dharura, ukiwaangalia wakazi wa Arusha kwenye mkutano utaona wanayo.
Ndio maana yake.Wako tayari kwa lolote au vipi?