Uchaguzi 2020 Msafara wa Mgombea Mwenza CHADEMA, Salum Mwalimu wapigwa mabomu Ifakara

Weka hiyo video basi,tuone amekatika vipande vingapi
 
Huyu pichani ndiye amesikika akiamuru
 
Vyombo vya ulinzi na usalama wanaamini hawatoweza kuishi bila ccm.
 
Nasikia majuzi kulikua na kikao cha igp na mkuu na mkurugenzi wa tume.... Nasikia aliulizwa hayo mabomu tumewanunulia ni ya kazi gani? Mbona hamyatumiu? Sasa mkurugenzi anasema Tundu Lissu muongo yy hajakutana na magufuli mbona sasa baada ya kikao na yy kasisitiza kauli ya mkuu kua mabomu yapigwe?
 
Baada ya Wilson Mahera kutoa maagizo ya kushughulikiwa kwa Wagombea wanaofanya mikutano nje ya ratiba zao , tayari utekelezaji wake umeanza kwa kishindo .

Msafara wa Mgombea mwenza wa Chadema Mh Salum Mwalimu leo umevurumishiwa mabomu ya Machozi yasiyo na idadi huko ifakara wakati akisalimiana na wananchi waliomzuia njiani akiwa kwenye harakati za kampeni
 
SASA MTU UMESHATAHADHARISHWA USIFANE KITU WEWE UNAFANYA UANTAKIWA UIGWE TU HAMNA NAMNA WAPIGWE TUUUU
 
Kwa Hilo tunawashukuru Sana polisi wanafanya kazi nzuri Sana ya kuifanya ccm ichukiwe na wananchi endeleeni kuwapiga watu mabomu ili kuisambaratisha ccm
 
Wako tayari kwa lolote au vipi?
Nikiwa Arusha ilikuwa vitu vya kawaida sana, dawa yake chupa ndogo tu ya maji unakuwa nayo kwishaa.

Ukihudhuria mkutano wa Chadema unabeba maji ya dharura, ukiwaangalia wakazi wa Arusha kwenye mkutano utaona wanayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…