Msafara wa Raisi (Presidential Motorcade) kukosea njia! Hii imekaaje kiusalama?

HAMNA PROTOCOAL ILIYOKOSEWA ILA NI WANA KITENGO WANAMTAFUTIA CHANCE WAMUONDOE KWENYE KITI...KILA MTU KAMCHOKA...HADI MIZIMU. SO HAMNA NAMNA. NA ASIJIDANGANYE AKAPANDA NDEGE...NA MAGARI NDO HIVYO YAMEANZA KUPINDUKA...KAZI ANAYO...
 
Kweli sisi ni mahodari wa kulalamika kwenye mitandao ,our no 1 kupotea njia ni news wakati kupoteza uelekeo kwa nchi sio news!,tuendelee kusubiri
 
Nimekumbuka yule askari polisi kule Tanga miaka ya nyuma alipoteza msafara, duuu!!!
 
Labda ni ile gari mpya ya mawasiliano iliyopo katika msafara wa Rais wataalam wake hawajaweza ku-master mitambo iliyopo mule. ( Aliyeona msafara wa Rais kwa siku hizi mbili atakubaliana nami )
Mkuu kwani wanao ongoza hiyo misafara ni magari ya mawasiliano ama Polisi wa Mkoa husika ?

Asalalee!
 
Ni hatari kwa kweli ukiachana na mawasiliano basi hata ramani wameshindwa Kuwa nayo pia hivi Mishangingi kama ile inakosa TV pale mbele inayoonyesha Ramani!!!....
Sisi baaado sana

'HOW MUCH IS TOO MUCH?'
wote hao ni wahamiaji waliopoka uongozi wa tanzania...MTANZANIA MZAWA HAWEZI KUPOTEA NJIA.
 
AIBU SANA!.na hatari sana...huyo dereva anatakiwa afukuzwe haraka sana pamoja na bosi wake....hii ni untorelable mistake
 
Yaani unataka miongozo ya misafara ya Rais wetu iongozwe na satellites za US, Russia ama China...!?? Hilo haliwezekani. misafara ya rais wetu tunairatibu sisi...!! Usione zinatumika simu za 'land line' kuna maana yake wakati mwingine.
Hilo gari la mawasiliano mmelitengeneza nyie ? Hakuwezi kuwa na bugs ? Hiyo land-line yenyewe mmetengenezewa na wazungu halafu hapa sijui unajisifu nini

Kama hizo Satellites za Wazungu ,China nk hamtumii ya kwenu ni ipi mnayo itumia ?

Asalalee!
 
Labda ni ile gari mpya ya mawasiliano iliyopo katika msafara wa Rais wataalam wake hawajaweza ku-master mitambo iliyopo mule. ( Aliyeona msafara wa Rais kwa siku hizi mbili atakubaliana nami )
Mimi nakubaliana
 
Kwan juzi mwenyewe kasemaje? Si kasema kuwa yeye ni kichaa sasa unashangaaa nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…