Msaidieni rafiki yangu achague lipi kati ya Ndoa au Scholarship (Elimu)?

Siijasoma yote ila mwanao ka anataka kuharibu future mwambie aoe
 
Kama mahusiano yenu (wewe na mwana) yaliyojengwa kwa miaka yanatatizwa kupata jibu hii ngoma naona kiazi cha moto.....
Nafikiri Hapo dada anachohitaji ni status ya ndoa na sio maisha ya ndoa.....(MWAMBA ASANUKE NA HILI)

Malezi ya mtoto n jambo la msingi sana KABALI NYINGINE

Mwamba anaenda kuchukua piechidi ili apate nn zaidi?
Je hawezi kwenda na familia nje ya nchi ?kama kuna uwezekano bora wang'oe wote japo manzi tayari anaonyesha anamipango mbadala ....
Kuna taarifa nyingi wanazificha hasa
huyo maisha ya mwana na manzi.......

Kama mastazi mbili zinahangaika kupata jibu mie wa elimu ngumbaru👣...🏹
 
Mi nashauri aende yule kama anapenda shule kama mimi basi,amepata chance asiichezee, ajaribu kumwambia binti hali halisi asipoelewa atumie na akili zake.
Kiukweli ni changamoto na inauma kuacha familia lakini inapobidi unafanya yaani kama vile afande aendavyo mission
Nimewahi kupitia hiyo situation na pale mr alivosema et asiende kwa ajili ya familia nilimtia moyo nkamwambia we nenda tu,ila yataka moyo jamani
 
Ila kuna watu wanaoa wanawake ila ni mabogus imagine kwa jinsi anavyomwambia hivi hata akienda huko atakuwa na amani?
Ameshapata mtoto anataka nini kwa mfano?mwanamke mwenye akili angemtia moyo na kama ana mahisia yake angesolve kiutu uzima sasa ni mameno gani hayo anamwambia?
 
Utaanza kutafuta Hela baada ya kupata hiyo PHD?? Wewe kweli mwehu..
 
Nilivyosoma hivyo point ya Mchumba namba moja ni kuwa huyo mchumba bichwa ni box na huyo msela John hana msimamo, hana uhakika na anachokitaka.

Aache ufala, mwambie aende akalambe phd yake
 
PhD scholarships nyingi ukiwa umeoa ni ruksa kwenda na nkeo.... afunge ndoa ya bomani chap waondoke
 
Kabla yake hizo feeling na emotion alizilea Nani...?

Na Alie kudanganya nitawahi kufa kabla yake Nani...?
 
Wewe kweli mwehu..
Asante..
Ila karibu SHAMBANI.
Tumeanza ku export Parachichi Ulaya.
Kilo ilifungua kwa elfu 2.

Huyu Mwehu anazo mpaka za kukulea wewe na familia yako yotee.


Uwe unauliza kabla hujamfanyia mtu abuse.

Na kengine unapokuwa unajibu hoja yoyote STOP USING PESSIMISM WORDS.

Nilianza kutafuta hela tokea nasoma A'Level.
Yaani natoka class kusoma PCB halafu naingia kitaa kutafuta za kudunduliza ili nisongeshe life la shule.
Ukute hata Shule ulikuwa unapiga hodi mlangoni Kwa baba akupe ya nauli.
Wakati wewe unamshawishi mama akupe ya tuition, mi nilikua nashawishi raia mtaani (wateja) wanunue bidhaa zangu.

Hivi hukusoma na ukaelewa nimeandika "IBAKI KUTAFUTA HELA TU"
Kwamba hukuelewa hii statement na hasa terminology IBAKI?

#YNWA
 
Nilishamjibu PIGA NDOA CHINI TWENDE SHULE.

Infact mi nilivyopokea tu barua nilienda KUBEMBELEZA fasta kwa mkurugenzi aisaini.
Na sasa nasubiri watume hizo documents Nipande ndege.

Ila mwamba naona kama anafeli kisa mapenzi.
Ila alichosahau na nilichomkumbusha ni kwamba ana miaka 33, tukienda na tukarudi atakua na miaka 36.

Sasa Kwa miaka 36 atakua kqpoteza nini? Mbona muda wa ndoa mpya (kama hii ataikuta haipo) utakuwepo?

#YNWA
 
Mpaka sasa John ni kiumbe bwege fulani hivi..sio mwanaume wa kujisimamia. mtu mzima wa kiume unashindwa kufanya decision unakuja kutafuta ushauri humu?? Pumbafu narudia tena pumbavuuu
 
JOHN aende kusoma aachane na ujinga.

1. Nimekuzalisha.

2. Naenda kuongeza uwezekano wa kuongeza kipato.

3. Nimeshakutolea mahari.

N.k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…