Msaidizi wangu wa ndani anagawa vitu vyangu kwa wanandoa

Bado sijafika home mkuu
ukifika muache afanye kazi zake then akimaliza muite mwambie mwanangu njoo tuongee kitu, mueleweshe umuhimu wa kutunza vitu, mwambie asigawegawe unahangaika kuvipata, maisha ni magumu akuelewe kama mamaake au dadaake mueleweshe kama mzazi na sio kama bosswake muahidi utampa zawadi akifanya vyema.
 
Sawa mkuu niombee nipate ujasiri
 
Niliona jirani yangu akipimia msichana chakula nikafikiri mchoyo, yaliponikuta mbona na friji la chumbani ninalo? Nampa kila kitu kwa ajili yake na watoto na extra ya emergency mbona alibadilika na akaa kwenye mstari wala sikumsema nilibadilisha lifestyle tu
 
Na wewe gawa mshahara wake
 
amegawa nini mpka kimesababisha moyo wako uvuje dam miss
 
Asante dear .
Aisee inauma mno
Nashukuru sana kwA ushauri.na.kunielewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…