Msaidizi wangu wa ndani anagawa vitu vyangu kwa wanandoa

anhaa! ipo siku hilo lidada litakuja likudunde na usiseme!, nenda kamnywee konyagi ndogo halafu mfate ukamchane makavu live...😂
Pombe inasingiziwa mengi duu 😔 yeye atafute mtu aigize Kama baba..yes father house amkemee na kumgombeza aache kugawa vitu ovyo ovyo
 
Pombe inasingiziwa mengi duu 😔 yeye atafute mtu aigize Kama baba..yes father house amkemee na kumgombeza aache kugawa vitu ovyo ovyo
Siku akioelekwa father house wa ukweli beki tatu atahoji yule aliyenifokea yuko wapi, msala utaanza upyaaa!
 
Kama umemkanya imeshindikana achana nae tafuta mrangi awe dada wa kazi wale ndio nyumbani ya roho mbaya anaweza akakunyima hata we na wanao chakula
 
Namuogopa yaani
Sijui kaniloga?
Humuogopi unaogopa ataishi na watoto vibaya, tafuta namna nzuri umwambie , huwa tunakaa na Hawa mabinti ila mara hubadilishwa na watu wa nje, ni vyema kumuambia mapema atakuja kujigawa mpaka yeye na watoto wako sasa .
 
Aaaaiiih, niogope mende? Mjusi? Panya? Real? Akat hata nyoka naweza ua mwenyewe.

Umenikumbusha tuliwahi ua Kenge shambani mie na mdogo angu, afu tukachuja mafuta yake.
NAKUPA DEDICATION
BADMAN_TUNDAMAN FT HARMONIZER
😅😅
 
Shukrani
 
Ahaaa tuna mambo mengi hatupendi kufokafoka
 
Namuogopa asije akachukia akaondoka
Weee mpe ukweli wake yaani wasichana wa kazi ukiwachekea sana wanakupanda kichwani na akijua unamuogopa atakupeleka utafurahi nakwambia, subiri watu waanze kupanga foleni wageuze kwako ndo dukani haya, maana Kuna wanawake hawana huruma Wala aibu ptuuuh..!!
 

Muonye sana sana, msamehe na sahau, pia muonye na huyo mwanaume, akirudia muondoe tu taratibu, everybody deserve a second chance!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…