ukifika muache afanye kazi zake then akimaliza muite mwambie mwanangu njoo tuongee kitu, mueleweshe umuhimu wa kutunza vitu, mwambie asigawegawe unahangaika kuvipata, maisha ni magumu akuelewe kama mamaake au dadaake mueleweshe kama mzazi na sio kama bosswake muahidi utampa zawadi akifanya vyema.