TANZIA Msajili wa Vyama vya Siasa Mstaafu, John Tendwa Afariki Dunia

acheni tu kifo kiwepo. kinaleta uwiano wa maisha kwa watu wote.
 
Nae mlugaluga ni mwanasm!
 
Alikoenda kama watu wanarudi, tunaomba mungu huyu mtu asirudi alikotoka

Msajili wa vyama vya siasa nchini John Tendwa amesema sasa amechoka kusikia mauaji kwenye mikutano ya kisiasa ya CHADEMA na atatumia rungu lake kufutia usajili chama chochote kitakachoshindwa kutunza amani ya nchi.

Tendwa amewaambia waandishi wa habari hatishiki na chama chochote kuwa na wabunge kwani sheria inamruhusu kufuta chama hata kama kina wabunge 100.

Katika hali ya kushangaza Tendwa ameshauri vyama visubiri nyakati za uchaguzi ndipo vifanye mikutano ya kisiasa.

Hata hivyo amekiri sheria inaruhusu vyama kufanya mikutano na maandamano wakati wowote.

Source: Habari - Radio Tumaini
September 5,2012
 
#Tendwa atishia kukifuta chadema# kwahiyo mbona ameshindwa kutishia kukifuta kifo chake? Au alijisahau au aliishiwa peni ya wino ya kukifuta kifo?
 
Alikuwa Mtenda haki?
 
RIP Mzee. Mbele yako nyuma yetu. Jiandae kujibu ni kwajinsi gani ulileta furaha au machungu Kwa jamii ya kitanzania kutokana na maamuzi yako. Ulijiita Baba wa mageuzi japo sikufahamu kwanini. Rest where you belong Mzee wa kibamba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…