babu na mjukuu
JF-Expert Member
- Jun 23, 2016
- 3,916
- 6,697
Walishaanza kuandaa madekioBavicha watapasuka sasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Walishaanza kuandaa madekioBavicha watapasuka sasa
@tindo Acha kuwa unabwabwaja chochote kitakachokuja kichwani kwako.
Swala la kange lipo kwenye uchunguzi.
Acha kuwa unaandika hovyo bila mpango, wewe ni mkorofi sana
Acha dhana mbaya kwa kila jambo la serikali.Embu wakati mwingine jaribu kuwa na mawazo positiveUkorofi wangu ni nini? Suala la Kange haliko tena kwenye uchunguzi, maana Takukuru walishasema wamekamilisha uchunguzi kwa 99%. Sikushauri utetee uovu kisa unasaka mlo. Huu ni ushahidi wa wazi kuwa hakuna vita ya rushwa, bali kuna kulipizana visasi kwa mgongo wa kupambana na ufisadi.
Acha dhana mbaya kwa kila jambo la serikali.Embu wakati mwingine jaribu kuwa na mawazo positive
Sasa kama unaona barabara zinajengwa kwa kasi na maendeleo ni makubwa kwa nini mnampinga Rais Magufuli aliesimamia hayo?Sina dhana mbaya kwa kila jambo la serikali acha kunichafua, bali ninakataa kwa nguvu zangu zote uovu wowote. Ni wapi umeona napinga serikali kujenga barabara? Ni wapi umeona napinga ujenzi wa hospitali? Je hayo sio mambo ya serikali? Acha kuchanganya mambo ya serikali na matumizi mabaya ya madaraka tafadhali.
Kinachowafanya wawe wapole nihayo makandokando, Kama wangekuwa wasafi naamini kwa kiburi cha Kinana asingethubutu hata kutaja jina la Jiwe. Kama kweli ameomba msamaha sawa lakini lamoyoni mwake linajulikanaSource wapi mkuu ila hii habari kama ni kweli kuna watu watanuna na kupasuka, Maana tayari walishaanza kusema twende na Kinana 2020 haha, Mimi nilisha sema hakuna kitu mtu ataweza kufanya akiwa nje ya mfumo, yaani nchi hii hakuna mtu aliepo nje ya mfumo anaweza kutingisha mfumo never ever hao kina Kinana kwa sasa ni kama mtu uwaoondoe meno afu uwape nyama ambayo haija iva fresh. Hata mkwere anajua ukishakuwa nje ya system huna impact tena
Ukizingatia hao wastaafu wana makandokando kibao
Sasa kama unaona barabara zinajengwa kwa kasi na maendeleo ni makubwa kwa nini mnampinga Rais Magufuli aliesimamia hayo?
Uaimamizi bwashee.Magufuli anasimamia vizuri fedha za walipa kodi.Mkubali Magufuli mambo yaishe.Barabara zinajengwa na kodi za watanzania. Kama ujenzi wa barabara ndio kipimo cha mtu kukaa madarakani, basi hakukuwa na haja ya sisi kuwatoa wakoloni, au weusi wa Afrika kusini kuwatoa madarakani weupe. Kiongozi sahihi ni zaidi ya ujenzi wa barabara/miundombinu. Rais Magufuli sio rais sahihi, bali alipaswa kuishia cheo cha waziri mkuu. Sina shaka na nilichokosema.
Uaimamizi bwashee.Magufuli anasimamia vizuri fedha za walipa kodi.Mkubali Magufuli mambo yaishe.
Wacha huyu tu, Lissu akipitishwa kugombea uraisi, basi ndiye wa kwanza kurudi nymbani ccmNatabiri
Peter Msigwa yuko njiani kwenda ccm
I can feel it