Msamaha wa Spika Ndugai kwa Rais Samia ni kifo cha mende kwa lile kundi

Wote pambaneni na hali yenu
 
Hao wanaeleweka ni njama tu za kutaka kuuzima motonwa Katiba na tume huru. Japokuwa ujumbe ulishafika kwa mhusika.
Kuomba msamaha ni janja tuu.
Siasa za kipuuzi sana. Hivi Spika wa Bunge na Rais si wako karibu sana.!
 
Hao wanaeleweka ni njama tu za kutaka kuuzima motonwa Katiba na tume huru. Japokuwa ujumbe ulishafika kwa mhusika.
Kuomba msamaha ni janja tuu.
Siasa za kipuuzi sana. Hivi Spika wa Bunge na Rais si wako karibu sana.!
Tunataka Karina mpya ya wananchi na mjadala janjakanja tunaupotezea🏃vile vile kutuhadaa kuwa hawana mgorogoro chamani ni kama uongo mwingine tu.
 
Sisi wazalendo tusio na njaa hatuna upande,

kama nikweli Samia anawakopea wazanzibari hilo hatukubali hata kama limesemwa na yule mpuuzi boss wa mjengoni
 
Daah! Mkuu Asante Sana kwa ubuyu huu wa Mpendazoe a.k.a Mpendazote
 
Ni mpuuzintu anawezakubaliana na yanayoendelea.
Viongozi hovyo namna hizi wanatakiwa wajiuzulu nyadhifa zao na ndio demokrasia inakua.
Angalia mataifa yaliyokomaa wanajiuzulu mara moja haijalishi uko nafasi gani.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]Kwa akili hizi alafu ccm itoke madarakani?
 
Reactions: nao
Kwa katiba hii, hakuna namna CCM itakaa iondoke madarakani bila ya yenyewe kusambaratika.

Ndiyo maana wenye akili wanashangilia mpasuko ndani ya ccm maana wanaona kama ukombozi unakaribia
Kwa hiyo hapa unashangilia kitu gani?
 
mkuu umewaza kitoto sana, wale ni watu wazima wameamua kucheza mind game kuwapoteza watu ili waendelee kusuka mipango yao kimya kimya, kwa sasa ccm haitakiwi kuwaamini hawa watu maana wana ajenda zao.
Hawana namna, hawana jinsi ya kuzitekeleza ajenda zao hizo. Zitabakia kwenye makaratasi na simu zao
 
BINAFSI BADO NAJIHOJI,,,,,,,,,,,,WALA SITAKI KUAMINI KAMA AMEOMBA MSAMAHA.
HIVI NI KWELI MHESHIMIWA ALIKOSEA? MBONA AMECHELEWA SANA KUOMBA MSAMAHA
TAKRIBANI SIKU 6 SASA,
JE, NI KWELI ALIKUWA HAJATAMBUA KUWA ALITOA KAULI SAHIHI AMA LA?
MIMI NILIPENDA ALIPOSEMA;
Ni lini sisi tutafanya wenyewe ‘and how’ (na kwa vipi),"

=> ALIKUWA SERIOUS KWELI. KAMA BABA ANAWAASA WATOTO WAKE.
Sasa leo tena eti kaomba msamaha ,,,,,,,,,,, hivi ni kweli alikosea?

“Sasa 2025 mtaamua mkitoa waliopo nayo sawa waje watakaokuwa kazi yao kwenda kukopa, endapo hiyo namna ya ku-run nchi (kuongoza nchi) hivi sasa deni letu ‘seventy trilioni’ (Sh70 trilioni). hivi nyinyi si wasomi ‘is that healthy’ (hiyo ni afya). Kuna siku nchi itapigwa mnada hii,” alihoji Ndugai.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]Kwa akili hizi alafu ccm itoke madarakani?
Nimekosa mimi, nimekosa mimi, ninekosa sana...

Hatimaye Chama kimerudi rasmi kwa wenyewe. Mazwazwa na washamba chaliiii
 
Polepole ana salamu za mwaka mpya
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…