Msamaha wa Spika Ndugai kwa Rais Samia ni kifo cha mende kwa lile kundi

mleta mada ,inaonekana ni mzanzbar,na Kama ni mtz basi bado ni mchanga Sana kwenye siasa za hapa Tanzania,unaijua vizuri ccm!!?,muulize lowasa,sumaye ,dr.slaa,au waulize bavicha lowasa aliwafanya nn!!... Wajuvi wa Mambo wanajua nn kinaendelea na misheni ikoje ndani ya ccm. Huwa nawaambia siasa za ccm ,hata bavicha hawazijui ,pamoja na ufundi wao wa kupiga maneno!!
 
Mama Ndungai amezingua na wewe mzingue. Usicheke na watu kama wakina Ndungai kwani ni wanafki sana. Kuna wakina Ndungai wengi sana sasahivi wapo mimacho kodo wanasikilizia uta handle vipi hii issue. Waonyeshe wewe si wamchezomchezo otherwise watakufanya wewe bibi
 
Saizi wamebaki kuroga na kuombea kifo,Mungu atamlinda Mama.
 
Ni mpuuzintu anawezakubaliana na yanayoendelea.
Viongozi hovyo namna hizi wanatakiwa wajiuzulu nyadhifa zao na ndio demokrasia inakua.
Angalia mataifa yaliyokomaa wanajiuzulu mara moja haijalishi uko nafasi gani.
Sio suala rahisi kujiuzulu kama ulivyoandika na unavyoamini.
 

Tunaposhindwa kuuona ukweli huu:

1. Minyukano ndani ya CCM haitusaidii kwenye madai yetu ya katiba mpya.
2. Mwendazake hayupo tena, makando kando yake tuhangaike nayo kwenye "haki na maridhiano" baada ya katiba mpya.
3. Agenda zetu ni za kudumu si marafiki.


Tunaifanya safari kuwa ndefu zaidi.
 
Stage managed,cooked....and bla bla but who cares!!!
 
Kuna kundi lilidhani system haiko na mama, linakosea. Baada ya huyu muungwana kuongea 26 Dec siku iliyofuata mtu akapewa ki-note akaongee Clouds Power Breakfast, jana wametumwa zoom meeting, leo yeye mwenyewe kaambiwa aombe msamaha.
 
Sasa inabidi naye apelekwe mbele ya Kamati ya Maadili ya Bunge kuhojiwa kisha aende kwenye Halmashauri Kuu ya Chama awekwe kati. Kosa hili ni sawa tu na yale ya akina Gwajima. Tusiwe na double standard kwenye maamuzi kwenye chama chetu
 

Nimejikuta na mkumbuka marehemu bi Kidude- rip na ule wimbo wake maarufu wa amada umelewa.
 

..nidhamu ya ccm inatokana mwenyekiti kuwa amiri jeshi mkuu, na kuweza kutumia mamlaka yake kuwadhibiti wanaotofautiana naye.

..kwa hiyo nidhamu ndani ya chama inapanda au kushuka kulingana na kiwango cha utayari wa mwenyekiti kutumia dola kudhibiti wanachama.
 
Wanayo rejea ya uongozi wa Mwalimu Nyerere. Viongozi wanaoibuka wanajikuta wakiwa na viwango vya kufikia kimaadili na hata kibusara na hekima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…