Msamaha wa Spika Ndugai kwa Rais Samia ni kifo cha mende kwa lile kundi

We jamaa una akili Sana. Wajinga wanasema eti ndani ya ccm kuna nidhamu
 
The Gang imekula kwao
 
Usitutoe kwenye reli. Sukuma gang wamepwelepweta na kutepeta.
 
Wanayo rejea ya uongozi wa Mwalimu Nyerere. Viongozi wanaoibuka wanajikuta wakiwa na viwango vya kufikia kimaadili na hata kibusara na hekima.

..hakuna anayemkumbuka Mwalimu Nyerere ndani ya ccm, labda Warioba, Pinda, na Butiku.

..basically, chama kimoja wachumia tumbo na kimepoteza kabisa ule msingi wa kiitikadi uliokuwepo awamu ya kwanza.
 
Kumbe mzanzibar si mtz?!!!...
 
Yaani ni hivi unapoishambulia CCM unaishambulia dola

.katiba hii haitenganishi CCM na dola...utakwisha siku si zako ewe mwana CCM.

Kabla huja zungumza uliza kwanza wazee wa CCK waliishia wapi ?

Msiige mambo..acheni kina Mbowe na Lissu wapiganie ukombozi wenu; nyie Paganieni ugali wa matumbo yenu.
 
..hakuna anayemkumbuka Mwalimu Nyerere ndani ya ccm, labda Warioba, Pinda, na Butiku.

..basically, chama kimoja wachumia tumbo na kimepoteza kabisa ule msingi wa kiitikadi uliokuwepo awamu ya kwanza.
Hata hao hawana free room ya kuongea...CCM ni chama mafia sana.

Kama Jaji Warioba mwenyewe anakabwa roba na WAHUNI wa UVCCM kuzuia conférence yake hivi unategemea nini...kuna chama humo ama uhuni mtupu.

Yaani polepole pamoja na kuwa na yeye ni muhuni ila ana afadhali ...wengi sana wamo na ndiyo maana tunamsaidia kuchochea kuni mbichi..
Wachomoke.
 
Kwa hiyo amaleki wanaendelea kukita mizizi......
 
mkuu umewaza kitoto sana, wale ni watu wazima wameamua kucheza mind game kuwapoteza watu ili waendelee kusuka mipango yao kimya kimya, kwa sasa ccm haitakiwi kuwaamini hawa watu maana wana ajenda zao.
Kwa kweli Majaliwa na Ndugai lao moja.
Angalia hutuba ya Majaliwa ”mungu mungu ”nyingi za kimkimchongo.
Na DHAIFU leo katuletea ”sala ” za kimchongo.
 
Wanayo rejea ya uongozi wa Mwalimu Nyerere. Viongozi wanaoibuka wanajikuta wakiwa na viwango vya kufikia kimaadili na hata kibusara na hekima.

..Magufuli alikuwa mwenyekiti wa kwanza wa Ccm ambaye hakuwahi kufanya kazi na Mwalimu Nyerere.
 
Mwendakuzimu hoiiii! Legacy imezikwa rasmi leo
Acha tuone sasa plan B ”kimya kimya” ya Sukuma GANG, kama watatoboa huko CCM, hii yakupuyanga wamezibitiwa.
Ila hotuba ya Majaliwa na press ya DHAIFU inaononesha hawa lao moja na wamejipanga.
 
Japo komondo kafia kwenye maua.. lakini ndugai kajitaidi..maana Ni mnafiki mno..
Yaani ubabe wote wa ndugai..Leo anaongea mambo ya kitoto eti nimekosa Mimi nimekosa sana..haya maneno ameyakopa kwenye sala ya wakatoloki..
 
Acha tuone sasa plan B ”kimya kimya” ya Sukuma GANG, kama watatoboa huko CCM, hii yakupuyanga wamezibitiwa.
Ila hotuba ya Majaliwa na press ya DHAIFU inaononesha hawa lao moja na wamejipanga.
Yawezekana Dhaifu kaomba radhi baada ya kuona matelefoni kamruka na kuanza kumtaja Mungu?
 
[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Kwakuwa mnapita karibu na jalala mnaamua kuachia na mashuz..i ili mlisingizie jalala? [emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…