TANZIA Msanii Costa Titch afariki dunia baada ya kudondoka stejini

Naamini Martin Luther king , hakuwa smart kama 2pac , ni vile tu pac alizaliwa na kuishi ghetto
Martin Luther alifeli sababu alishindwa kuwaunganisha wamarekani weusi wote.Hana tofauti na malcom x wote walfeli.Lakini pac na notorious walikua smart guys sema tu walizaliwa kwenye hoods za watu wa kawaida kimapato
 
Martin Luther alifeli sababu alishindwa kuwaunganisha wamarekani weusi wote.Hana tofauti na malcom x wote walfeli.Lakini pac na notorious walikua smart guys sema tu walizaliwa kwenye hoods za watu wa kawaida kimapato
Na ukichanganya mziki na Siasa maisha yanakua mtafaruku, nilifuatilia historia ya Wu Tang Clan muda fulani nikajifunza kitu
 
Mlikua wote pindi anamuabudu Shetani?
Uliambiwa nyimbo za kidunia ni za Mungu?,au mnapenda kubishana bila sababu za msingi?,amefariki kwenye stej anaimba mambo ya duniani,hapo watu wamevaa uchi 99,%,walevi wa pombe sigara humo,wanao zini,kubambiana humo yaani kila aina ya uchafu huwa inapatikana humo,afu unabisha nn Sasa?
 
Wewe endelea kunibusu tu Ila nani aliekwambia Sigara inalewesha? Ushawahi kubambiwa ukiwa humo kumbe unajua yote hayo? Wee kumbe we muhudhuliaje mzuri hivyo aisee? Nikubambie?
 
Ebu tujuze kidogo mkuu kuhusu hilo
Mkuu jamaa nilijifunza kitu kutoka kwao ukiwafuatilia na we utajifunza kitu, Ila niseme ukichanganya muziki na Siasa mwisho wake ni mtafaruku baki na kimoja, pac nakumbuka alikua anapendwa hadi na rais wa kipindi hicho na aliitwa ikulu akaenda kunywa chai jamaa alivyotoka ikulu kaenda kutengeneza ngoma kamdiss rais wa nchi sio kumdiss tu na kumtukana juu, anyway politics n music ni vitu tofauti
 
Wewe endelea kunibusu tu Ila nani aliekwambia Sigara inalewesha? Ushawahi kubambiwa ukiwa humo kumbe unajua yote hayo? Wee kumbe we muhudhuliaje mzuri hivyo aisee? Nikubambie?
Hata Kama haileweshi,Kuna kitabu chochote Cha dini inayo mwamini Mungu wamehalalisha sigara?hata Kama mtu ulikuwa una mkubali ila Kuna mda ukweli usemwe wengine wajifunze.
 
Ohh my God!
 
Sikutishi kinga ni Bora kulikon tiba,tukae tayari hatujui siku Wala saa.ukijufanya unaendekeza sanaaa ujana my brother itakula kwako,vijana saizi wanakufa kwa speed
Nakumbuka nimekaa zangu sehemu dada mmoja akanifuata akaniambia kijana naona una kitu naomba kuongea na wewe, yaan nafsi yangu inanituma kuzungumza na wewe, nilipojaribu kumdadisi yule dada kumbe lengo lake ananihitaji anitengenezee mazingira kutokana na muonekano wangu eti niwe pastor wa mchongo, nikasema whaaat umesemaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…