Kila atendae dhambi ni wa ibilisi.Wakristo munajambo lenu kwenye ushoga, haki ya mama.
Juzi tu huko marekani kuna muinjilisti gani sijui kapewa uchungaji ilhali ni shoga, leo tena muimba kwaya! aagh acheni hizo bhana.
kwa kuwa alikuwa alikuwa rijali ndo mana aliwatafuna wanawake wote hao unaosema na sio hao tu,, hata wewe ukitaka anakupelekea moto, mana nyie si mnapenda kufihlwah mpaka mmeruhusu makanisani wanaume waolewe,,kwani alikua na minyege ya aina gani hakutulia kwa hao wake 12 akafuata kuchafua katoto ka miaka 9
Inawezekana pia ni moja ya masharti yake ya kuuza nafsi yake Ili afanikiweAu alizaliwa bisexuals
Katika vitu ambavyo nimeongeza umakini mkubwa kwenye kuzungumzia ni hii situation ya kuongezeka kwa mahusiano ya jinsia moja.Inasikitisha sana kale katoto kalikojizoelea umaruufu kwa kuimba nyimbo za injili gospel akiwa mdogo miaka ya 2012 jotta ameweza kujibadilisha jinsia na kuwa mwanamke.
ALIZALIWA JIJINI JOSÉ Antonio VIANA De HOLLANDA , Jotta alifahamika kimataifa dhairi ni mwimbaji aliyeokoka mwenye nguvu ya kumuabudu MUNGU , alijulikana baada kushiriki katika shindano la muziki nchini Brazili lililoitwa Programa Do Raul Gil mwaka wa 2011.
Lakini amemwacha MUNGU na kuenenda na Ulimwengu . Ni jukumu letu sote kuendelea kumuombea na MUNGU AKUBARIKI SANA
Kipi cha ajabu.kabla ya ujio wa sheria ya umri,hata hapa nchini zipo mila zilichumbia mimba achilia hio miaka 9.Hamna chochote utaniambia niache kuwaona majuha kwa nyie kumuabudu huyo mtume wenu aliyekua anagegeda na kuchafua katoto ka miaka 9 ilhali mwenyewe alikua na wake 12, na zaidi aliishia pia kugegeda mke wa mwanaye wa kufikia, sijui alikua na nyege za aina gani huyo mzee.
Na ulimwengu wa SAsa usipowaombea watoto wako imekula kwako,yule muovu atapanda kitu ndani mwao.Mapema wema ulinzi wa moto shetani atomgusa.Katika vitu ambavyo nimeongeza umakini mkubwa kwenye kuzungumzia ni hii situation ya kuongezeka kwa mahusiano ya jinsia moja.
Soma huu mstari 👇👇
Mathayo 24:15
Basi hapo mtakapoliona chukizo la uharibifu, lile lililonenwa na nabii Danieli, limesimama katika patakatifu (asomaye na afahamu),
Anaposema chukizo la uharibifu limesimama patakatifu amekazia na ASOMAYE NA AFAHAMU.
Hii situation imetabiriwa na lazima itokee na hakika yanayotokea mnayashuhudia wenyewe. Makaasisi na madhabahu imeshambuliwa na adui na hakika hakuna kilichofichika hata baada ya kauli ya majuzi ya Papa ni wazi atakayeuona ufalme wa Mungu ni yule atakayesimama kwenye toba na kumpendezesha Mungu wakati wote.
Mnapambana dhidi ya nguvu za giza kwa vita ya mwilini. Mapepo yameshaachiwa kutoka kuzimu na utaona mwanaume akiwa na hamu ya kuingiliwa na mwanamke akitamani kumiliki penzi la mwanamke mwenzake....
Tusimame kwenye nafasi yetu kuhubiri habari njema ya ufalme wa Mungu na kumuomba rehema muda wote.
Sisi wazazi wenye watoto tusizembee kwenye kuwaombea na kuwalea ktk maadili ya kujitambua na kadhalika...
Amen
Duhh..
Umeongea jambo jema sana.Kipi cha ajabu.kabla ya ujio wa sheria ya umri,hata hapa nchini zipo mila zilichumbia mimba achilia hio miaka 9.
Kuchumbia na kumuingilia ni vitu viwili tofauti.
Zamani mtoto alikuwa anachumbiwa lakini anasubiriwa hadi umri wa kuingiliwa ukifika ndipo anaanza kuingiliwa.Lakini sio kwamba waliwaingilia watoto wadogo.
Labda tu kama pana hoja ya kashfa.
Ujio wa elimu na sheria yaani modernization ndio umeyafuta haya, lakini hadi miaka ya 90 yalikuwapo hata hapa nchini
Shetani ana nguvu Sana kwa mtu asiye na MUNGU.Umeongea jambo jema sana.
Japo swali ni je, kwanini matendo maovu (shetani) yana nguvu kuliko mema?
Kwanini wale wanaojitoa kwa kutenda vema tangu wakiwa wadogo ndio hupatwa na matukio mabaya?
Lawama zote kwa wanasayansi. Zamani ukizaliwa mwanaume ukitaka kua mwanamke ni kua 'anti flani' a.k.a shoga. Siku hizi tangu wagundue kubadilisha gender mwanaume anajibadilishia na kua mwanamke kabisa and viceversa
Basi tuseme, kuchamba kwingi .......Usiwalaumu wana sayansi wameisaidia sana hii dunia,maendeleo unayoyaona bila wanasayansi tusingekuwa hapa leo.