Naam sio kila kitu kinachoandikwa katika media kina uhalisia mengine yapo kwaajili ya kuuza habari tu na kumuongezea mtu umaarufuZingatia maoni ya mdau huyo sio kila unachotangaziwa ndivyo kilivyo open ur mind think about other side binafsi sikubal ni uongo
KudosKabisa!
We borrow the world through our children and not the other way round!
Tunachagua kuzaa na sio Wanachagua kuzaliwa!!
Mzazi amempa mtoto msingi bora kabisa wa elimu na connections nzuri za watu, ampe nini tena mkuu?...
Usiamini kila kitu unachokisoma kwenye mainstream media, hakuna Binadamu wa kawaida akawa katili kiasi hicho kwa damu yake mwenyewe labda kama ni psychopath, ...
Kaulize kanisa katoliki nku a watu wameacha hosea huko
Mafala ni sisi .....Kama ni kweli anamaanisha, ni fala tu huyo Jack Chan.
.
Yaaaani mwanaoo kabisaaa usimwachie urithi hata njuru kweli kama sio siasa ni niniJackie Chan ni mwanasiasa tangia lini tena ndugu yangu?
Ninapingana na wewe kwa hili mkuu. Mtoto atafute pesa zake. Jaribu kusoma alichokiandika ndugu Mr Slim hapo chini.
AsanteEndapo mtoto alikuomba umzae/azaliwe hata ukimuacha akiwa na miaka miwili lakini kama umemzaa pasi ya matakwa na utashi wake mtunze, mhudumie, mgharamie hadi umauti.
Zaa kwa sababu, usizae kwa sababu ulikuta watu wakizaa. Zaa kwa mpangilio, usizae kuionesha jamii kwamba unaouwezo wa kuzalisha au kuzaa.
We're on the same boat. There's no way a parent should be proving everything to a child from his Infancy to maturity. We need to changeNipende ku declare interest .
Wachaga wako vzr kuandaa watoto kujitegemea akiwa mkubwa atafute zake.
Huu upuuzi wa kunyolea ndevu home kijana akitamani UFE arithi ni ujinga
=======Why unapenda ku”misquote ?!”
Yani unakata comment ya mtu kiufupi kulingana na matakwa ya majibu yako?