Msanii Mkubwa Bongo Fleva atabiriwa kifo na Wachungaji kutoka Kenya na Zimbambwe
Mbona awajafa sasa, na yule alietabiri dar itazama mbona haijazama.
 
Hawawezi kutabili mazuri??
kwani hayo ni mabaya? mtu anapewa taarifa zake za maisha ya mbele ili atengeneze wewe unaona ni vibaya? njooni kwa Yesu muokolewe!

achaneni na mahela ya manyoka


JESUS IS LORD & SAVIOR
 
Inawezekana kabisa 🤣🤣
Mi siwaamini watu wanaotabiri Vifo kabisa..

Nasubiri ule utabiri wa Yule mchungaji alisema Dar itateketea mwezi wa Nne
Mkuu mkumbushe Yule mchungaji mwambie Sasa Ni mwezi wa Sita huu.
 
Back
Top Bottom