Msanii Mkubwa Bongo Fleva atabiriwa kifo na Wachungaji kutoka Kenya na Zimbambwe
Ila sasa Kipimo cha Kuhakiki kama kaomgea na Roho wa Mungu ni kipi??
Soma Wakorinto 1, 12:10.

Ndlovu alikuja na unabii juu ya kifo cha Magufuli 2019, baada ya mwaka na miezi kadhaa ikatokea. Kaja na unabii sakata la kuuzwa bandari August 2021 na jinsi itakavyoligawa taifa, imetokea.

Mimi ni nani niwe na mashaka na unabii wake?
 
Najua kuhusu Unabii wake na nimemfatilia kwa ukaribu sana na namjua Vizuri lakini usisahau kuwa henda anafanya Utabiri tu na sio Unabii...

Vipi kama anatabiri na Hatoi Unabii kutoka kwa roho....

Maana Roho mtakatifu Pia huwaingia watu watoe Utabiri..

Kumbuka unabii Ni lazma utimie Ila Utabiri Si lazma utimie..

nimeona katabiri Mengi ila yaliyotimia Sio yote..
Kwahyo kama yaliyotimia sio Yote haiwezi kuwa Unabii nauweka kundi la Utabiri..

1 Samweli 19:20

"Basi Sauli akatuma wajumbe ili kumkamata Daudi; nao hapo walipowaona jamaa ya manabii wakitabiri, na Samweli amesimama kama mkuu wao, roho ya Mungu ikawajilia wajumbe wa Sauli, nao pia wakatabiri."

Lakini Usisahau kuwa Roho ziko nyingi sana na biblia imeonya Kuhusu Hilo au unasahau??

2 Wakorintho 11:13-14

"Maana watu kama hao ni mitume wa uongo, watendao kazi kwa hila, wanaojigeuza wawe mfano wa mitume wa Kristo.
Wala si ajabu. Maana Shetani mwenyewe hujigeuza awe mfano wa malaika wa nuru."

Au Husoma kuwa Imewapasa Kuchunguza Kila roho..

1 Yohana 4:1

"Lakini Wapenzi, msiiamini kila roho, bali zijaribuni hizo roho, kwamba zimetokana na Mungu; kwa sababu manabii wa uongo wengi wametokea duniani."
 
Ndo nimesema mimi sina shaka na unabii wake; wewe mwenye mashaka ndiye uipime roho ya unabii wake.

Lakini pia umsikilize vizuri. Yona alivyopeleka ujumbe wa maangamizi Ninawi, unabii wake haukutimia baada ya watu wa Ninawi kutubu na kumrejea Mungu. Unabii haukutimia si kutokana na Yona kutokuwa na roho wa Mungu.
 
Mkuu Samahani unafahamu Unabii uko wa aina ngapi??
Kwa yona ilikuwa ni Taarifa na sio Unabii wa Utabiri wa yajayo kuwa dhambi zao zimefika Juu kwahyo wenyewe wakaacha na Kuomba na kufunga..

Huu unaitwa unabii wa Hukumu..

Unabii wa Hukumu Uko hivi..
Mfano:-

'Wauza Duka Wote wa Kariakoo Lazima wauwawe..
Kesho wauza Duka wote wa kariakoo wakaacha kuuza duka kariakoo na waka wakulima, Huwezi kudeal Nao kwa sabubu wamebadilika tena..
Ila wale watakaobaki kuwa Wauzaji wa kariakoo bhasi watauwawa...

Ni kama unabii kama wanaomini wakristo na waislamu kwamba Siku ya mwisho ulifanya mema utaenda Mbinguni/Peponi na ukifanya Mabaya utaenda Motoni..

So Ni kama kwa Yona..
Hukumu Ilipita kwa ajili ya Watenda Maovu lakini ghafla baada ya taarifa wakageuka kuwa watenda wema..

Sasa ulitaka Wapewe adhabu isiyo kuwa yao.??
 
I am out of this. Naona tutakesha bila kufikia muafaka.
 
sikuizi wapo mpaka tiktok wanaksanya gift kama sadaka
 
Usiku huu niko uchi hapa chumbani kwangu, naomba wanitabirie nafanya nini na huyu mtu wangu
 
Wametoa Time Frame ? Kama ni kutabiri tu hata mimi naweza Kila mtu atafuka eventually....
 
Back
Top Bottom