Amesema anatoka kabila lililomtoa kiongozi mpigania uhuru,
Msanii huyo ni yule mmakonde anayetoka kabila Moja na BM.
Msanii huyo ameonywa mara Kwa mara na hasikii,
Kosa lake ni mene mene tekel na peresi,
Kosa ni kutumia vyombo vitakatifu Kwa maslah ya muziki wake Ili kupata faida binafsi kimuziki na kumtukuza miungu yake Badala ya Mungu.
Ametumia muziki na wasanii wa INJILI kushirikiana nao kimuziki mfano Ule wimbo wa "Moyo wangu".
TABIA hiyo hiyo ameanza kuionyesha Nassib, kupanda madhabahuni kuwin washabiki Toka Kwa muziki wa INJILI.
Wasanii wajifunze kumuogopa Mungu na kumnyenyekea.