Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 38,657
- 44,759
Hii kaliDr. Ian Ndlovu alishawahi tabiri kifo cha Magufuli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii kaliDr. Ian Ndlovu alishawahi tabiri kifo cha Magufuli
Sijawahi ona kwenye Biblia toka nilipoanza kuisoma nikiwa mdogo hadi uzee huu Nabii anamtabiria mtu kifo.
Yaani ujinga ujinga tuu...Aseme atakufa lini...maana asije kufa miaka kumi ijayo aseme alitabiri
Mtu anajazwa hofu ili akifika Kanisani ifanyike advertisement na waanze kula hela yake kwa maelezo ya kumuombea.Sijawahi ona kwenye Biblia toka nilipoanza kuisoma nikiwa mdogo hadi uzee huu Nabii anamtabiria mtu kifo.
Kufa kupo kwa kila mtu na hatujui saa wala siku ambayo tutakufa. Huyo nabii ni janja janja ili kama ikitokea msanii yoyote kafa ionekane alishatabiri japo pia anaweza kufa kwanza yeye kabla ya huyo msanii. Inasikitisha kwa kweli.
Wajinga waliwaoHizi dini wachumia tumbo wengi na wengi wao wapo kimkakati kusukuma mambo yao
Ujinga wa kiwango cha lamiHuu ujinga ukemewe. Watu wanaweza kutumia mwanya huu kufanya mauaji. Wakitaka kukumaliza basi wanaanza na utabiri kama huu kisha wanakuua na jamii yote inaaminishwa kuwa ni mpango wa Mungu.
Piga binduki ya kuchwaUjinga kama huu China huwez kuukuta
Weka na kashata sasa 😂🙌Acha mambo Yako Diamond ameokoka na Juzi tu aliandaa Tamasha la Pasaka na akahubiri Injili ya Yesu Kristo mbele ya Waziri mkuu
Nyie mumuombee tuUtabiri huo unamtukazaje Mungu?
Kama ameona hilo linakuja, anataka sisi au huyo mwanamuziki afanye nini?
Kwanini asitabiri afya njema na maisha marefu zaidi kwa mhusika?
Hovyo kabisa hamna kazi pale 🙌🙌😂Inasikitisha sana watumishi wamekua wasoma nyota.
He said this in 2019 July, more than a year before Magufuli's death.Hii kali
Yesu mwenyewe alitabiliwa kifo... But kumsema mtu kuhusu kigo sio vzr... inatakiw umwombee tuSijawahi ona kwenye Biblia toka nilipoanza kuisoma nikiwa mdogo hadi uzee huu Nabii anamtabiria mtu kifo.
Kufa kupo kwa kila mtu na hatujui saa wala siku ambayo tutakufa. Huyo nabii ni janja janja ili kama ikitokea msanii yoyote kafa ionekane alishatabiri japo pia anaweza kufa kwanza yeye kabla ya huyo msanii. Inasikitisha kwa kweli.