Mkuu Samahani unafahamu Unabii uko wa aina ngapi??
Kwa yona ilikuwa ni Taarifa na sio Unabii wa Utabiri wa yajayo kuwa dhambi zao zimefika Juu kwahyo wenyewe wakaacha na Kuomba na kufunga..
Huu unaitwa unabii wa Hukumu..
Unabii wa Hukumu Uko hivi..
Mfano:-
'Wauza Duka Wote wa Kariakoo Lazima wauwawe..
Kesho wauza Duka wote wa kariakoo wakaacha kuuza duka kariakoo na waka wakulima, Huwezi kudeal Nao kwa sabubu wamebadilika tena..
Ila wale watakaobaki kuwa Wauzaji wa kariakoo bhasi watauwawa...
Ni kama unabii kama wanaomini wakristo na waislamu kwamba Siku ya mwisho ulifanya mema utaenda Mbinguni/Peponi na ukifanya Mabaya utaenda Motoni..
So Ni kama kwa Yona..
Hukumu Ilipita kwa ajili ya Watenda Maovu lakini ghafla baada ya taarifa wakageuka kuwa watenda wema..
Sasa ulitaka Wapewe adhabu isiyo kuwa yao.??