Tetesi: Msanii wa Bongo Movie, Batuli lamkuta jambo, augua ghafla na kukimbizwa hospitalini

Uzuri ni kwamba mwakilishi wetu Mondi Platinumz atakuwa kashaweka kimya kimya
 
Ila huyu dada asikwambie mtu ni lizuri kinoma...siku moja nimeliona kazini nilivurugwa kabisa..halafu lilikua linatabasamu...

Baada ya kuona hii picha sijapata ugumu wa kuamini maneno yako mkuu 🀣🀣🀣 wacha mafisi walogwe tu hamna namna.
 

Attachments

  • images.jpeg
    21.9 KB · Views: 5
  • images.jpeg
    21.9 KB · Views: 5
"akipiga makelele kama mamajusi wa mashariki."

umbea ni kipaji maana unavyoleta habari kwa mbwembwe utafikiri unatoa habari ya sherehe kumbe matatizo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila batuli nili zuri sana!!sijuii kwanini watu wakipiga wanakimbia na sikia hata mwenye mkoa wake alimpangia kabisa!!baadaye akagundua analea yule mwanamziki wa mkubwa na wakubwa

Sent using Jamii Forums mobile app
Nilisikia Kajala nae mwenye mkoa wake kala sana na ndio maana Steve Nyerere yupo nae karibu sana,kwa ajili ya kumletea mizigo.
 
Kajala ni quite true alimpangia hadi ofisi mkuu ,karibu walogane na masogange ,maso akaona siyo poa ndo kukimbilia makongo kule!

Sent using Jamii Forums mobile app
Duu kumbe Mwenye mkoa wake kapiga mpaka Masogange hili toto Maso ndio lilikuwa hatari.Ila bongo movie siku akitokea mtu katiri,ana hela,ana ngoma yaani anaweza akawaambukiza mademu wote wa bongo movies,wengi wanatamaa njaa kali,alafu wanapenda maisha ya gharama wakati mifukoni hawana kitu.
 
Ivi mume anaibwaje kwa mfano.


Ni hivi, si unaona wewe hapo ulipo....unakuja kujigonga kwangu kisha mimi naingia kingi nakuomba andazi, nawe unanipa bila ubishi ukijuwa umelifukizia madawa. Nikikuingia tu nanaswa na ninakupa urithi wa nyumba zangu nawe unatajirisha familia yako huku nami nikimsusa mke wangu na watoto. Umeshaelewa mpaka hapo, Kina Mama mnafanya sana haya haswa mademu wa Kichagga na Kipare, nashangaa wewe Mchagga wa wapi hujuwi hili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…