mbongo_halisi
JF-Expert Member
- Apr 16, 2010
- 7,074
- 5,486
Mpe Batuli namba ya mumeo
Hawezi huyo anataka kufurahisha genge tu. Usikute naye kishamthibiti mumewe ndiyo maana anaropoka hivyo. Pia usijekuta ni Batuli huyo ndiyo anauliza hivyo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpe Batuli namba ya mumeo
Hayo maneno ya mtandaoni ila jamaa kawagonga sana.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji122][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]haki ya Mungu we jamaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Leo ilikuwa siku mbaya but, nimecheka almanusura nife[emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu Binti namfahamu, mimi ni mwalimu wake wa utangazaji, kiukweli amejaaliwa mashallah!, swali hao waume za watu yeye ndio huwa anawafuata huko majumbani mwao na kuwaiba au wao ndio wanamfuata?. Maana kiukweli, wakati mimi nikimfundisha utangazaji, alma nusra uzalendo ungenishinda, mimi usafiri wangu ulikuwa ni boda boda, binti ana vuta range sport!, sikuthubutu!.Wanazengo wanasema bibie ni mwalimu wa kuiba waume za watu , Na nasikia akimpata mume wako anamroga mpaka basi , yani bingwa wa kuiba waume za watu na ni mchawi kupitiliza.
Umbea unaozagaa kwa sasa, Kuwa Msanii huyo aliingia kwenye himaya ya watu , na mke wa mwanaume aliyemuiba hakukubali na kuakikisha anampiga zongo la maana.
Ila shoga nae alizidi kuiba waume za watu , khaa, halafu alikua anajisifu kabisa kwa wake aliowaibia waume kuwa yeye ni mtamu, kama kweli karogwa watakua wamemnyoosha kisawa Sawa.View attachment 1430162
Sent from my iPhone using JamiiForums
Huyu Binti namfahamu, mimi ni mwalimu wake wa utangazaji, kiukweli amejaaliwa mashallah!, swali hao waume za watu yeye ndio huwa anawafuata huko majumbani mwao na kuwaiba au wao ndio wanamfuata?. Maana kiukweli, wakati mimi nikimfundisha utangazaji, alma nusra uzalendo ungenishinda, mimi usafiri wangu ulikuwa ni boda boda, binti ana vuta range sport!, sikuthubutu!.
P
Mzigo wa maanaAisee lakini ana mzigooo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyu Binti namfahamu, mimi ni mwalimu wake wa utangazaji, kiukweli amejaaliwa mashallah!, swali hao waume za watu yeye ndio huwa anawafuata huko majumbani mwao na kuwaiba au wao ndio wanamfuata?. Maana kiukweli, wakati mimi nikimfundisha utangazaji, alma nusra uzalendo ungenishinda, mimi usafiri wangu ulikuwa ni boda boda, binti ana vuta range sport!, sikuthubutu!.
P
Huyu Binti namfahamu, mimi ni mwalimu wake wa utangazaji, kiukweli amejaaliwa mashallah!, swali hao waume za watu yeye ndio huwa anawafuata huko majumbani mwao na kuwaiba au wao ndio wanamfuata?. Maana kiukweli, wakati mimi nikimfundisha utangazaji, alma nusra uzalendo ungenishinda, mimi usafiri wangu ulikuwa ni boda boda, binti ana vuta range sport!, sikuthubutu!.
P
Hebu tuwe wakweli kiuukweli kabisa kwa uzuri kama huu,Anawaiba kwa kutumia nguvu za giza na uzuri wake, maana kusema kweli batuli kajaliwa uzuri wa asili, ila anapenda sana kuwaiba waume za watu
Batuli mohammed njoo huku
Hebu tuwe wakweli kiuukweli kabisa kwa uzuri kama huu,
View attachment 1438264View attachment 1438266View attachment 1438267View attachment 1438268View attachment 1438269View attachment 1438270View attachment 1438271View attachment 1438272View attachment 1438275
Unahitaji kutumia nguvu zozote za giza kumfanya apende, au ni hao waume za watu ndio wanajichanganya wenyewe kwa kumtamani, maana hata mimi...
Sasa mtu atamani mwenyewe, amtokee, amikubaliwa na anamkuta binti hata kule kwenye ile idara, yuko gado, mtu anachanganyikiwa na kuamua kutelekeza familia!, kosa ni la nani?.
P
Batuli sio mchezo!.Huyu batuli mara ya kwanza nilimuona kwenye tangazo la bia nikajikuta nampenda tu.
Mimi kwakweli nakulaumu wewe mwalimu wake [emoji3][emoji3]Hebu tuwe wakweli kiuukweli kabisa kwa uzuri kama huu,
View attachment 1438264View attachment 1438266View attachment 1438267View attachment 1438268View attachment 1438269View attachment 1438270View attachment 1438271View attachment 1438272View attachment 1438275
Unahitaji kutumia nguvu zozote za giza kumfanya apende, au ni hao waume za watu ndio wanajichanganya wenyewe kwa kumtamani, maana hata mimi...
Sasa mtu atamani mwenyewe, amtokee, amikubaliwa na anamkuta binti hata kule kwenye ile idara, yuko gado, mtu anachanganyikiwa na kuamua kutelekeza familia!, kosa ni la nani?.
P
Hebu tuwe wakweli kiuukweli kabisa kwa uzuri kama huu,
View attachment 1438264View attachment 1438266View attachment 1438267View attachment 1438268View attachment 1438269View attachment 1438270View attachment 1438271View attachment 1438272View attachment 1438275
Unahitaji kutumia nguvu zozote za giza kumfanya apende, au ni hao waume za watu ndio wanajichanganya wenyewe kwa kumtamani, maana hata mimi...
Sasa mtu atamani mwenyewe, amtokee, amikubaliwa na anamkuta binti hata kule kwenye ile idara, yuko gado, mtu anachanganyikiwa na kuamua kutelekeza familia!, kosa ni la nani?.
P
Batuli sio mchezo!.
P
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan wee binamu mweeehSasa mbona hawamuoi binamu? Ndio maana mnarogwa, mwenzenu anataman ndoa nyie mnataman mwil wake, wacha mrogwe kwanza
Sent from my iPhone using JamiiForums
Mkuu Masigazi, mimi mwalimu wake unanilaumu kwa lipi badala ya kunipongeza?!, yaani just imagine mtu unafundisha kitu kama hikiMimi kwakweli nakulaumu wewe mwalimu wake [emoji3][emoji3]
Ila kwakweli hapo hakuna Cha mganga wala Nini mtoto mshalaaah huyo
Sent using Jamii Forums mobile app