Tetesi: Msanii wa Bongo Movie, Batuli lamkuta jambo, augua ghafla na kukimbizwa hospitalini

[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji122][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]haki ya Mungu we jamaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Leo ilikuwa siku mbaya but, nimecheka almanusura nife[emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app

Ila umenielewa lakini? Hivyo ndivyo tunavyorogwa sie wanaume nanyi kina Mama.
 
Wanazengo wanasema bibie ni mwalimu wa kuiba waume za watu , Na nasikia akimpata mume wako anamroga mpaka basi , yani bingwa wa kuiba waume za watu na ni mchawi kupitiliza.

Umbea unaozagaa kwa sasa, Kuwa Msanii huyo aliingia kwenye himaya ya watu , na mke wa mwanaume aliyemuiba hakukubali na kuakikisha anampiga zongo la maana.

Ila shoga nae alizidi kuiba waume za watu , khaa, halafu alikua anajisifu kabisa kwa wake aliowaibia waume kuwa yeye ni mtamu, kama kweli karogwa watakua wamemnyoosha kisawa Sawa.View attachment 1430162
Sent from my iPhone using JamiiForums
Huyu Binti namfahamu, mimi ni mwalimu wake wa utangazaji, kiukweli amejaaliwa mashallah!, swali hao waume za watu yeye ndio huwa anawafuata huko majumbani mwao na kuwaiba au wao ndio wanamfuata?. Maana kiukweli, wakati mimi nikimfundisha utangazaji, alma nusra uzalendo ungenishinda, mimi usafiri wangu ulikuwa ni boda boda, binti ana vuta range sport!, sikuthubutu!.

P
 
confirmed.😀😀
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Anawaiba kwa kutumia nguvu za giza na uzuri wake, maana kusema kweli batuli kajaliwa uzuri wa asili, ila anapenda sana kuwaiba waume za watu

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Anawaiba kwa kutumia nguvu za giza na uzuri wake, maana kusema kweli batuli kajaliwa uzuri wa asili, ila anapenda sana kuwaiba waume za watu
Hebu tuwe wakweli kiuukweli kabisa kwa uzuri kama huu,
images (11).jpeg
images (10).jpeg
images (9).jpeg
images (8).jpeg
images (7).jpeg
images (6).jpeg
images (5).jpeg
images (4).jpeg
images (3).jpeg

Unahitaji kutumia nguvu zozote za giza kumfanya apende, au ni hao waume za watu ndio wanajichanganya wenyewe kwa kumtamani, maana hata mimi...
Sasa mtu atamani mwenyewe, amtokee, amikubaliwa na anamkuta binti hata kule kwenye ile idara, yuko gado, mtu anachanganyikiwa na kuamua kutelekeza familia!, kosa ni la nani?.
P
 
Huyu batuli mara ya kwanza nilimuona kwenye tangazo la bia nikajikuta nampenda tu.
Hebu tuwe wakweli kiuukweli kabisa kwa uzuri kama huu,
View attachment 1438264View attachment 1438266View attachment 1438267View attachment 1438268View attachment 1438269View attachment 1438270View attachment 1438271View attachment 1438272View attachment 1438275

Mimi kwakweli nakulaumu wewe mwalimu wake [emoji3][emoji3]

Ila kwakweli hapo hakuna Cha mganga wala Nini mtoto mshalaaah huyo

Sasa mbona hawamuoi binamu? Ndio maana mnarogwa, mwenzenu anataman ndoa nyie mnataman mwil wake, wacha mrogwe kwanza

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mimi kwakweli nakulaumu wewe mwalimu wake [emoji3][emoji3]

Ila kwakweli hapo hakuna Cha mganga wala Nini mtoto mshalaaah huyo

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Masigazi, mimi mwalimu wake unanilaumu kwa lipi badala ya kunipongeza?!, yaani just imagine mtu unafundisha kitu kama hiki
images (10).jpeg
images (9).jpeg
images (8).jpeg
images (7).jpeg
images (3).jpeg
images (11).jpeg
images (6).jpeg
images (5).jpeg
images (4).jpeg

Yaani wewe ni mwalimu kazi yako ni kumfundisha tuu huyu dada utangazaji, halafu na wewe pia ni binaadamu, unamfundisha tuu huku unavumilia bila hata.. !
P
 
Back
Top Bottom