VoiceOfReason
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,194
- 1,365
Jamaa anamwambia Msekwa eti anatakiwa ale pensheni nae anajibu kuwa bado ana nguvu.
Ahahahahahaaah eti ze komedi dah, me ngoja nikalale maana jenereta langu linaishiwa mafuta kwa kuangalia komedi.Hivi kweli hawa wako serious au kwa bahati mbaya umetune kwenye Ze-Komedi bila wewe kujua..
Anasema pensheni ya nini wakati bado ana nguvu.mzee wetu huyu,angetakiwa awe amelala nyumbani akila pensheni yake! hapa nasali asije akawa na presha akafa jukwaani!!!
Sijawai kuona mdahalo mbovu kama huu,umekosa muelekeo, atleast zitto alikuwepo kuwaongoza la kuongelea ,hi ndio kazi ya cdm (kuiongoza tz)