Msekwa: Membe siyo mtu maalumu, afuate tu taratibu

Sasa Membe naye wa kumhofia? kuna wa kuwahofia Ila sio Membe Kwa kweli, atafute Tu kazi zingine za kufanya, ni aheri ukamhofia Zitto kuliko huyo Membe.
Shangaa na wewe
 
Huyu mzee tangu lini akawa Msemaji wa chama. Kila tukio lazima a comment... Au anavizia Umakamu!?
 
Kama asingekuwa mtu maalum ccm isingemhofia hivyo! Amefukuzwa juzi, zilipopita siku mbili Katibu Mkuu wa ccm akamkaribisha tena arejee. Kama asingekuwa chochote ccm wasingekuwa wanamzungumzia. By now he is a strong subject of discussion
 
Aliyefukuzwa hasemi chochote,eti malofa ndiyo yamekuwa yanamuwekea maneno mdomoni.
 
Katika nchi ambayo mtu mmoja yuko juu ya kila kitu haya kutokea ni dhahiri. Msekwa (Spika mstaafu) analipwa 80% ya mshahara wa Spika aliyepo madarakani lakini bado nyuesi anaita nyeupe?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu maalumu wakoje
 
You are missing a point. Suala hapa ni issue na siyo umri baba. Msisahau kuwa hapa siyo face book bali ni jamvi maalum for those who dare speak sense.
Muhusika yeye mbona yupo kimya ila kina Bashiru na Msekwa wanajikombakomba alafu wanasema mitandao inampa BM umaarufu
Msekwa umri umeenda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa si wamuache wanamfuatafuata wa nini?
Msekwa naye umri umeenda

Sent using Jamii Forums mobile app
Sidhani kama Msekwa aliamka asubuhi na kuwatafuta waandishi wa habari kuwaambia haya.
Nadhani aliulizwa maswali na waandishi na hayo ndio majibu yake.

Hapo umri wake umehusiana vipi na majibu yake?
 
Mbona huyu Mzee ana hangaika sana kwani Membe kamwuuliza Utaratibu wa kufuata? Membe anaujua utaratibu sialikuwa ccm

Sent using Jamii Forums mobile app

Kafuatwa na Waandishi wa habari uchwara wanaotaka umbea, akatoa reservations zake after akamalizia kuwa asisumbuliwe kuongelea mambo ambayo hayana umuhimu kama hilo. Hajaenda yeye kutafuta media na kuongea hilo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…